PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
kwani hao mabinti wameolewa na huyo kijana?Wananikimbusha lile farangati la wake za mzee Yusuf,ila wale bora maana Leyla alikuwa mkimya.Sasa hawa wake za Chibu wote wamekutana ngangari.Uke wenza mimi siuwezi.