Mjini kuna mambo mambo Zari amdhihaki Hamisa

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji6] [emoji6] alijiona kafika kigoma mwisho wa reli...mwisho wa siku kakutana na jeuri mwenziee bampa to bampa!

Tena alikua anawarusha roho vibaya loooh!

Kweli KARMA ipo
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kazi juu ya kazi yaani anasalitiwa Jennifer Lopez, rihanna,sembuse yeye zari weeee aliona pesa zake mtoto Wa mbagara hatachomoka [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] atajiju
 
Wenzie tushasalitiwa mpaka tumekuwa ngangari [emoji2] [emoji2] [emoji13] [emoji13] [emoji13] wema kama unanisikia nunua wine mama kunywa tafuta nyama choma kula mama[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] bola wewe ulivumilia shoga ooooh huzai ooooh sijui vile haya mama akajitotolesha fasta namboo ikamponyoka ikalenga kwa mwenzie akapigwa chini nakuvimba juu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Halafu vile viteam uchwara vilikua vinamjambisha hamisa na kurusha roho eti mtoto sio wa mondi DNA imesema negetive[emoji6] [emoji6] [emoji6] wakawa wanajipa hope haoo!!
Loojh kuja kuona dogo ni copy ya simba wameshuhuka mpk huruma

Zari alimuambiaga wema maumivu yakizidi amuone Dk sasa Leo acha amuone Dk tu apunguze maumivu
 
Hahahaaa daaah mm umeniacha hoi tu kwenye iyo sentensi ya mtt wa kwanza kutoka mwisho.
 
[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6][emoji2] [emoji2] [emoji2] full shangwe
 

Eeeh wewe naye
Wema hasingemuacha Diamond.. alitegemea akae bila kupata mwanamke mwingine?
 
Ni pale unaposoma uzi na ukaanza kutia kichefuchefu.. kisa unaamza kujaa hisia za watu kuumizwa na wivu.. eeeeeh
Wivu mbaya shaaaaaaaaa
 
Reactions: nao
Madale kunafuka Moshi sio kidogo.

Bwana Dimond aje Kariakoo afundishwe jinsi ya kuchepuka na kuweza kuwa-Control wanawake zako wasioneane wivu.
 
Hivi uwa mnasahau kuwa wema ndiye alimuacha mond, yeye mwenyewe tena wapambe mkafurahi baada ya kampeni ya bring back our wema.
Mond nadhani akaona mtu pekee ambaye akiwa naye atamuumiza wema na team yake ni kuwa na mtu atakayeonekana yuko juu zaidi ndipo akaja na zari.
Mara team wema mkabadirika na kuanza kumshambulua zari over kaiba mume wa mtu.
 
Unashabikia matatizo ya mwenzako ndio maana huwezi fanikiwa kutwa kuomba jamii forum ...

Pambana na hali yako Zari sio mwenzenu anatembelea BMW la maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…