Mjini kuna mambo mambo Zari amdhihaki Hamisa

Mjini kuna mambo mambo Zari amdhihaki Hamisa

Yani huyo zari ajipange tu na maisha mengine baada ya mondi.kwa kumbukumbu za halaka hata peny alipakwa mafuta kwa mgongo was chupa hivihivi wakati mondi anarudi kwa wema na sauti ya wema ikarekodiwa eti anambembeleza mondi.peny akipokuja kujua ukweli kashachelewa .

Kabisa diamond sio mtu mzur hata kidogo anaweza kwenda kwa hamisa lakin hakatachukua muda kishaparamia mwingine na inavyoonesha mpenda kiki sana anawatumia wanawake kujinufaisha machoz huwa hayaendi bure wanavyozid kuumizwa huko mbeleni itakuja kuwa shida kama wakina mr nice
 
Malipo ni hapa hapa wanawake tunajisahau sana zari alimtesa sana wema alimkashifu sana wema akaona kisa anapesa atamkamata diamond hakujua mwanaume nikama fagio [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] I swear am happy for this siku zote kunya anye kuku akinya bata kaharisha pia huyo mobeto yaonyesha kitandani yupo vizuri zari kitandani bado [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] but ajue mwanaume ni mwanaume usimthamini mwanaume siku yoyote anakubwaga
M alichokuwa ananikera Mambo alokuwa anajifanyisha mitandaon live kwa ule umri wake havikuwa poa kwa mwanaume anaekupenda kwel hawez kukufanyia yale
 
Umeona eh! Zari anashindana na huyu mtoto mdogo atamtoa makamasi. Mondi keshachokaaa kupanda ndege south east, east south alimwaga manyanga kitaaaaambo. Huu ujasiri wa Misa ipo sababu. Ukizingatia mondi ana mashaka na mtoto wa kwanza kutoka mwisho oops wa tatu kutoka kwanza anyways huyu anaona aliuziwa mbuzi kwenye gunia. Zari mshari lakini Misa mgomvi changanya mbili moto!
Ila yule nillan jmn n Ivan mtupu tuweke ushabiki pemben
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] jmn alikuwa ananyodo eti mond kwake ndo amefika khaaaaa hawa hawa waume zetu au
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] angekuwa anaichomoa dushelele diamond akitoka anaihifadhi kweli hapo sawa sasa anatembea nayokujiaminisha hivyo vp
 
M alichokuwa ananikera Mambo alokuwa anajifanyisha mitandaon live kwa ule umri wake havikuwa poa kwa mwanaume anaekupenda kwel hawez kukufanyia yale
Ndo vinavyomuumiza hvyo maana km kujidhalilisha tu amejidhalilisha
Mwanamme anaekupenda hawezi kuruhusu huo ujinga ht kidogo
 
D akiumuacha H wanaume wenye afya zetu tutashangaa sana, ampe tena mtoto, uwezo anawo, tuendeleze dunia..Ka H kako safi sana aise...
 
Back
Top Bottom