ThickDarkness
Member
- Apr 23, 2024
- 43
- 96
Kama ni mwenyeji Kumbe michongo utapiga ufeli weweTunduma ni masikani
Nishalala sanaa Glory in hotel, na pale juu ya sheli ya manyanya kuna bar ina guest (nikiwa nimefulia nalala pale).
Tunduma yoteeeee NAIJUA.
Juzi nilikuwa black.
#YNWA
#YANGA_BINGWA