Mjomba ana-enjoy (video)

Mjomba ana-enjoy (video)

Mjomba washamtangalizia flying fish bado kumpasua tu baada ya sherehe
 
Mjomba atakuwa anaonaga wanawake wanacheza hivyo labda…
Mi sioni ubaya na nimependa, tujiepushe na dhana mbaya juu ya wengine.
Si vyema kuwadhania watu mabaya lakini watu wenyewe ndio wanatakiwa kujiweka mbali na viashiria vya ubaya ili dhana mbaya isijengeke juu yako......

Kwa mtoto wa kiume kurembua rembua macho sio jambo zuri na kwa ulimwengu wa sasa lazima tukudhanie vibaya.......
 
Back
Top Bottom