FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Sidhani, ni haiba yake tuHuyo mzima kweli? Au ndio wale wakupinda mgongo na miruzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani, ni haiba yake tuHuyo mzima kweli? Au ndio wale wakupinda mgongo na miruzi
Nadhani huyo ndivyo alivyo tu, na sio kwamba anafanya kitu kibaya nyuma ya paziaDaaaah.... Haya matakataka ni ya kuyakimbizia tu Mikumi kule Mbugani. Hayapaswi kupewa coverage hivi. Nimepatwa na hasira sana.
Kama pemba tuHuyo mjomba ndiye huyo "mbarikiwa"?
Hao wapwa wakoje?
Huyo jamaa si ni professor Janabi?Maisha ni pamoja na ku-enjoy. Hapa mjomba akifurahia Jambo.
Mungu gani?Anaye judge Mungu pekee 🤫🤫🤫
Mungu aliye wa judge sodoma na gomora , unadhani kuna binadamu aliye judge pale?Mungu gani?
Si vyema kuwadhania watu mabaya lakini watu wenyewe ndio wanatakiwa kujiweka mbali na viashiria vya ubaya ili dhana mbaya isijengeke juu yako......Mjomba atakuwa anaonaga wanawake wanacheza hivyo labda…
Mi sioni ubaya na nimependa, tujiepushe na dhana mbaya juu ya wengine.