Mjomba wangu amemtongoza mke wangu

Mjomba wangu amemtongoza mke wangu

niliwahi kuulia swali hapa zamani na sikujibiwa

je mke akisema fulani kanitongoza ina maana kashaliwa?

na kama sio lazima awe ameshaliwa,why jamii ina amini hivyo?

nakumbuka ya shyrose banji na sugu ilikuwa hivyo hivyo....

na sasa nimemsoma faizafoxy hapo juu

naanza kuamini hivyo...

The Boss inawezekana wakawa bado hawajakulana but pengine MKE hakumpenda huyo nd maana kajashtaki. Na nadhani ndio maana wengine wameuliza kama kweli ku'semea' inamaanisha uaminifu wa mke kwa mumewe, je huwa anawa'shtaki' wote wanaomtongoza ? as ile ya ......ah mume wangu kuna jikonda limenkera kama nini! linansumbua kweli kwa kunitaka! au kuna jijamaa flani liko na gari kila siku linanipaga lift pale kituoni linantongoza?!! mimi jamani sidhani kama uaminifu wa Mwanamke unapimwa na idadi ya 'kesi' za kutongozwa anazoripoti kwa mumewe, kwa sababu hatuna kipimo au measure ya kujua kama anazileta zote kwa mumewe au anakuwa selective.

Uaminifu wa mwanamke ni vile anavyoji'carry' yeye mwenyewe mbele ya jamii na ndani ya nafsi yake. Mume wangu mie atajua kuwa mie ni mwaminifu kutokana na mienendo yangu na sifa za watu wanaotuzunguka na si kwa mimi kumgeuza yeye hakimu wa wale wanitongozao ambapo hana ushahidi kamili wa as ni kweli wamenitongoza nikawakatalia au nimejirahisi kwao wakanitolea nje so kujihami asijenisemea ninamshtaki mie kwanza!

Eh mie nahisi ntapewa talaka kabla ya ndoa wallahi.!!
 
nahisi kukuelewa but labda nikuulize kitu hapa..

mimi ndo mumeo au bf halafu nimehisi kitu juu ya mtu fulani....

nikakuuliza,je huyu fulani una nini nae?????????

utanijibu vipi??????

ikitokea alikutongoza?
 
Nitakujibu kilichopo The Boss...........ikiwa ni mtu baki mfano ni rafiki yako au mwingine. But kama ni ndugu yako bwana tutafungua mdahalo....ile ya swali kujibiwa na swali enzake!!
The Boss......MJ mke wangu, nahisi kuna kitu wewe na Mjomba hakiko sawa
MJ1: Kitu gani Mume wangu
The Boss: Nahisi kama kuna kitu amekufanyia hujakipenda
MJ1: mh kitu gani bwana wewe??! Wala mie basi tu nadhani damu zetu hazielewani
The Boss: Are you sure?
MJ1: Kwani unahisi nini na wewe kwa kujishuku?? wala hakuna kitu mydia simpendi tu.

Ukiwa mchunguzi utanielewa especially kama zamani tulikuwa tuko close na huyo mhusika!
 
sasa hapo ni kuwa umpendi na hajakula
hebu nipe kama hiyo
kama ni rafiki na ameshakula....muhimu aisee kuna kitu unanisaidia hapa
 
Kuna mzee mmoja wa makamo kidog aliwahi kunieleza wafuatayo; Mke akikueleza mambo ya kutokewa na mwanaume, be careful kwa sababu haina uhusiano wa moja kwa moja na uaminifu; kuna uwezekano mkubwa kuwa hakumpenda jamaa na kama ni mwaminifu sana basi akwambiye pia na wale ambao huwajui wamewahi kutoka na out au anawazimia but hajapata nafasi ya ku interact nao. Sjui kauli hii ina ukweli kiasi gani?????? Wana JF mwaweza nisaidia.
 
Jamani kuna vitu vingine vigumu! Kama mjomba alijuta na kuomba msamaha kwa mkeo kwa nini mkeo amshtaki kwako?! Si anagombanisha ndugu?!
hiyo tisa MJ1,kumi ni je siku akitumbukia kwenye kishawishi akagawa kidogo ata ripoti kwa mmewe? mnafiki sana huyu mwanamke,hafai na ni kizabinazabina ,mchonganishi mkubwa!
 
mpwa, acha kama yalivyo, msifu mkeo ili aonyeshe unajali then acha kama yalivyo
 
Naombeni ushauri wadau,nilikuwa miangaikoni nje ya mkoa ninaoishi takribani miezi miwili,nikiwa safarini siku moja mjomba(mdogo wake mama yangu tumbo moja) alikwenda arusha kikazi na huko ndo nilipomwacha mke wangu,mjomba alikwenda kuisabai familia yangu mchana ilipofika usiku akaanza kumwandikia mke wangu sms za mapenzi akamtongoza na kumwaidi kuwa endapo atampa penzi angemwambia kitu cha muhimu kuhusu mimi,wife alimkatalia na kumwambia hawazi nisaliti coz ananipenda sana,kesho yake mjomba alirudi nyumbani kwangu akaendelea kumlazimisha wife amkubalie ila alikataa katakata na kumwambia amemchukia milele na nikirudi lazima amshitaki kwangu,mjomba alipoona karata yake imegonga mwamba akabadili mada na kusema alikuwa anamtega ajue msimamo wake kama nimwaminifu kwangu! Na kumsisitiza asinieleze na afute zile sms alizomtumia. Nimerudi arusha wife amenieleza story nzima na zile sms kanionyesha ila amenisii nisimfanye chochote uncle coz ndugu zangu watamuona mchonganishi. Hivyo wadau naombeni ushauri nifanyaje?

kama anamvalia kibikini na kikanga chepesi kimelowa maji kwa nini asimtongoze, angemnanihiii kabisa tu.
 
Jamani kuna vitu vingine vigumu! Kama mjomba alijuta na kuomba msamaha kwa mkeo kwa nini mkeo amshtaki kwako?! Si anagombanisha ndugu?!

MJ1 sijui kwa nini unaita huku ni 'kugombanisha'! Nashangaa hata huyo dada anamwambia mumewe eti asiseme.

By all standards huyu mjomba hana adabu (hata kama ameomba radhi!) na hili kamwe halipaswai kupita hivi hivi kama la watongozaji wengine. Ndugu wa namna hii usipochukuwa hatua tamaa zao zinaweza kufanya wabake/najisi watoto wenu. Asipokalishwa chini na kuonywa, huyu mzee (Mjomba) ataendelea na tabia yake hata kwa wake wa wapwa zake wengine.

Huyu kama ni mimi ningehakikisha namweka kikaangoni kwenye kikao cha wazee na analipa faini...na baada ya hapo asikanyage kwangu tena!
 
Back
Top Bottom