Mjue Allan Swift aliyeamiliki na kutumia gari moja kwa miaka 82

nadhan gari za zamani spear zilikuwa sio complicated kama sasa!!! kumbuka landa rover 101 unaweza tafuta chuma ukalichonga ikawa spea!
gari za sasa mara ina cheap mara ina'sense" mara sijui imetengenezwa na madini ya Nuclleocaricos sasa utayapat wapi?
Ni kweli, gari za zamani mifumo yako sehemu kubwa ni 'mechanical' hivyo inawezekana kutengeneza spea kwa kuchonga.
Japo bado kuna tairi na vingine havichongeki.
 
Inategemea unaitumiaje, unaweza ikawa kwa ajili ya kwendea kanisani tu ikadumu more than 10 yrs! Ninachofahamu haya magari yetu ya Ki Japan yana expire yakifikisha km 400,000 za matumizi
Si kweli kuna gari mpk zina km 700,000 org na zinapiga mzigo kama kawa tu.
 
inategemea umeiyumiaje hiyo gar? kama inatembea kwenye lami tuu
service ya kueleweka
haibebi mizugo mikubwa au watu wengi. Sasa gari kwetu unabeba kila mtu mizigo kibao service ya magumash lazima ichoke
 
That's for sure
 
Inategemea unaitumiaje, unaweza ikawa kwa ajili ya kwendea kanisani tu ikadumu more than 10 yrs! Ninachofahamu haya magari yetu ya Ki Japan yana expire yakifikisha km 400,000 za matumizi
Duh! Kweli mkuu? Nina nissan patrol ishakula km laki 3 na ushehe ila bado inadai, wacha niongeze matunizi ifije laki 4 nipate kuprove hii theory yako.
 
kuna gari na gari mkuu!! Landcruiser Hardtop,Nisan Patrol lifespan yake ni kubwa kuliko Noah au Verossa! nadan hapa inategemea hata materials zilizotumika kutengenezea gari!
 
Si kweli kuna gari mpk zina km 700,000 org na zinapiga mzigo kama kawa tu.
Si maaanishi haiwezi fika km 700000, kwani hujawahi kunywa au kula kitu kilicho pita muda let's say juice iliyo expire Jana na bado ladha ikawa Ile Ile?Au hujawahi kuona tyre used za gari zimesha expire lkn tunanunua na zinatumika muda mrefu tu? Ni hv hizi gari za Japan wao wameweka hizo km 400000 kuwa ndio mwisho lkn sisi na umaskini wetu tutabadilisha engine mara Bampers ,milango itafungwa na waya gari itaenda hata km laki 8!Mfano zile Toyota Stout za moshi au yale Malori ya wasomali (Fiat) , Kiwandani hata spare hawatengenezi ukiingia ndani ya gari huwezi jua original lilikuwaje modification hadi seats ,odometer imesimama kusoma zamani!

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Duh! Kweli mkuu? Nina nissan patrol ishakula km laki 3 na ushehe ila bado inadai, wacha niongeze matunizi ifije laki 4 nipate kuprove hii theory yako.
Ikifika laki 4 tafuta mtu mkabidhi hayo matatizo,nakumbuka jamaa yangu mmoja aliaagiza gari hz used akaipenda sana ilipofika 5 yrs tukamshauri aiuze akaleta sera za kikoloni eti hawezi kuiuza maana haimsumbui na wala yeye aangalii fasheni anaangalia utendaji!ilipovuka km 400000 alichoka kila siku kuna kitu kinajiharibikia chenyewe mara milango mara vitasa , siti achilia mbali engine na gearbox ambazo alishabadilisha sasa tatizo likawa atamuuzia nani ? akaishia kulikata screpper akakubali gari pia ina expire!

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Si maaanishi haiwezi fika km 700000, kwani hujawahi kunywa au kula kitu kilicho pita muda let's say juice iliyo expire Jana na bado ladha ikawa Ile Ile?Au hujawahi kuona tyre used za gari zimesha expire lkn tunanunua na zinatumika muda mrefu tu? Ni hv hizi gari za Japan wao wameweka hizo km 400000 kuwa ndio mwisho lkn sisi na umaskini wetu tutabadilisha engine mara Bampers ,milango itafungwa na waya gari itaenda hata km laki 8!Mfano zile Toyota Stout za moshi au yale Malori ya wasomali (Fiat) , Kiwandani hata spare hawatengenezi ukiingia ndani ya gari huwezi jua original lilikuwaje modification hadi seats ,odometer imesimama kusoma zamani!

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
Hicho unachosema ni story za mtaani tu hazina ukweli wowote,weka source/manual from Toyota/japanese manufactures ku support hicho unachokisema.

Mimi magari ya kijapani niliyoyaona yenye Km 500,000 kwenda juu ni mengi sana na no engine overhaul wala nini na yako very smooth so hizo habari za kudanganyana huko kijiweni achana nazo.
 
Angalia mfano mdg wa Carmry
Screenshot_2018-03-20-16-31-43.jpg
 
Angalia mfano mdg wa CarmryView attachment 720348
Hivi mkuu hizi gari zilizojaa Tanzania za 1996-early 2000's kama vi corolla,gx 100,altezza,gx 110,Verrosa,Brevis,carina etc unaamini kabisa kwamba zilitengenezwa ku last for 8 years only au utasema ziko well built sio kama report inavyosema?

Hizo reviews hua ni porojo tu lkn kiukweli mjapani yeye yuko siriazi na reliability tu mengine kwakeni nyongeza tu.

80% ya gari zilizoko bongo i guess zina miaka zaidi ya 20 tangu zitengenezwe,so try to figure out zitakua na Km ngapi za kiuhalisia achana na zilizochezewa Odometer?
 
Mkuu miaka saba mingi sana[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] passo ikichoka unaweza ukasema kobe inakatiza barabarani
Mkuu nilikuwa na kipasso piston tatu dah unakanyaga mafuta hakiitiki mara knaznduka gafla na kuanza kukimbia. Hivi kwanini passo haina nguvu kama suzuk amry japo zote zina piston tatu na passo ina engine kubwa cc 990 wakati camry ina cc 660
 
Hivi mkuu hizi gari zilizojaa Tanzania za 1996-early 2000's kama vi corolla,gx 100,altezza,gx 110,Verrosa,Brevis,carina etc unaamini kabisa kwamba zilitengenezwa ku last for 8 years only au utasema ziko well built sio kama report inavyosema?

Hizo reviews hua ni porojo tu lkn kiukweli mjapani yeye yuko siriazi na reliability tu mengine kwakeni nyongeza tu.

80% ya gari zilizoko bongo i guess zina miaka zaidi ya 20 tangu zitengenezwe,so try to figure out zitakua na Km ngapi za kiuhalisia achana na zilizochezewa Odometer?
Linganisha engine namba ya kadi na iliyopo kama hujakuta ziko tofauti, sipingi kwamba haziwezi kuvuka hata 700000km lkn zitachezea modification mpk! Utakuta freelander ina injini ya Rav 4 nk.
Tunaposema life expectancy ni miaka 15 sio lzm zote ziharibike ni sawa na binadamu Tunaposema umri wa kuishi avr ni 70yrs kuna watu wana miaka mpk 110 .
 
View attachment 718613
Bwana Allan Swift raia wa Marekani aliyekuwa akiishi huko Massachusetts alizaliwa mwaka 1908 ma kufariki mwaka 2010, alimiliki na kuendesha gai moja kwa miaka 82.

Bwana Allan alipewa gari aina ya Rolls-Royce Phantom-P1 Roadster kutoka kwa baba yake kama zawadi ya kuhitimu masomo yake mwaka 1928.

Alilitumia gari hilo muda wote mpaka umauti ulivyomfikia akiwa na umri wa miaka 102.
Baada ya kufariki gari hilo lilitolewa wa ajili kuwekwa kwenye jumba la makumbusho la Springfield.

Ilikuwa imetembea maili 1,070,000 na ilikuwa bado inafanya kazi vizuri huku ilkiwa haina makelele hata ikiwa spidi kali yani engine yake ilikuwa bado safi kabisa.

Hapo ndipo utastaajabu maajabu ya makandarasi wa Kiingereza gari kutumika miaka 82 bila tatizo.
Du adi kafanana nalo
 
Linganisha engine namba ya kadi na iliyopo kama hujakuta ziko tofauti, sipingi kwamba haziwezi kuvuka hata 700000km lkn zitachezea modification mpk! Utakuta freelander ina injini ya Rav 4 nk.
Tunaposema life expectancy ni miaka 15 sio lzm zote ziharibike ni sawa na binadamu Tunaposema umri wa kuishi avr ni 70yrs kuna watu wana miaka mpk 110 .
Hapa tutabishana hadi mwakani,i rest my case.
 
Nasikia na tajiri mkubwa Warren Buffet naye pamoja na utajiri wake bado anatumia volkswagen beatle ya kitambo.
 
kuna gari na gari mkuu!! Landcruiser Hardtop,Nisan Patrol lifespan yake ni kubwa kuliko Noah au Verossa! nadan hapa inategemea hata materials zilizotumika kutengenezea gari!
Sawa mkuu.
 
Back
Top Bottom