Ikifika laki 4 tafuta mtu mkabidhi hayo matatizo,nakumbuka jamaa yangu mmoja aliaagiza gari hz used akaipenda sana ilipofika 5 yrs tukamshauri aiuze akaleta sera za kikoloni eti hawezi kuiuza maana haimsumbui na wala yeye aangalii fasheni anaangalia utendaji!ilipovuka km 400000 alichoka kila siku kuna kitu kinajiharibikia chenyewe mara milango mara vitasa , siti achilia mbali engine na gearbox ambazo alishabadilisha sasa tatizo likawa atamuuzia nani ? akaishia kulikata screpper akakubali gari pia ina expire!
Sent from my SM-N900 using
JamiiForums mobile app