MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Isack Malyamungu alikuwa pia binamu wa Idd Amin. Alikuwa ni katili hadi Amin akatamka hadharani kuwa huenda binamu yake ana kichaa. Aliyekua mshauri wa Amin, Bob Astles alimshauri Amin kuhusu ukatili wa Malyamungu na kumtaka amchukulie hatua.. ila wakati Amin anajipanga kumchukulia hatua binamu yake habari zikamfikia Malyamungu... kilichompata Bob Astles ni kipigo kitakatifu kama onyo na hata Amin hakuendelea na mpango wake wa kumchukulia hatua Malyamungu.