mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,904
- 8,371
Sijamuona Le Mutuz billionea kwenye list sijamuona Davis Mosha au forbes wamekosea?
Kwa huyo Mufuruki kuna huyo alikuwa balozi wetu SA Ami Mpungwe naonahayupo kwenye hiyo orodha lakini naye ni kati ya ma tycoon wa bongo,ukitaja Tanzanite nae yumo yeye ndie aliwashika sikio makaburu kuja kuwekeza kiulaini hapa Bongo na baada tya kuzichanga akauachia hata ubalozi