Mjue Bakhresa katika picha na matajiri wenzake 10 waliopo Tanzania

Mjue Bakhresa katika picha na matajiri wenzake 10 waliopo Tanzania

Naomba kujuzwa kuwa bilionea means ni lazima uwe na hela zaidi ya 1Bn?
Fedha nyingi za matajiri sio safi sana ukizichunguza, ila wengi wanazisafisha na kufungua makampuni na kutuajiri walau tunapata mkate wetu wa kila siku, washukuriwe kwa kupunguza uhaba wa ajiza kwa Wadanganyika, hebu fikiria Bakheresa asingewekeza pesa zake nchini? ametoa ajira nyingi sana,
Mwaka 2003 nilikuwa shocked pale ndugu yangu aliponionyesha acconts zake za benk ambapo wakati huo zilikuwa na 7.3 Bilion, anafanya biashara ya madini, lakini huwezi amini zote kaweka bank hata hajafungua kampuni walau akuze mtaji na kuajiri wadanganyika
Hongereni sana mabilionea msisahau kunishikia namba wakati Bwana akipenda nami nitakuja huko
 
sasa hawa WAISLAM kwanini hawajipangi, kuanzisha taasisi za Elimu ya juu.?

Bakwata ipo kuwagawa hawa waislam.Na ndicho kitu kinachofanyika.Bakwata ingekua ni taasisi yenye weledi maendeleo ya jamii ya waislam yangekua mbali sana
 
Tuamini ipi kati ya hii na ile ya Forbes? Tatizo Tanzania ukiwa na magari mengi tu lazima wakuite tajiri
 
Tanzania kuna Billion dollar mmoja tu ambae ni Rostam Aziz wengine wote ni million dollar.
Mimi huko sijafika maana bado niko kwenye kundi la watu wengi
 
Watu wa Dar mnapendelea. Huku Tanga kuna tajiri anaitwa Shehoza. ana gorofa mbili Tanga na moja Lushoto. ana nyumba mbili Soni. Ana Semi kumi na mbili. fuso za kumwaga na vx lakutembelea. ni mfanyabiashara mkubwa sana Tanga. mbona simuoni kwenye listi yenum

Aisee kuna jamaa anaitwa wa YANGA huyu jamaa nae nasikia ni noma
 
Bakwata ipo kuwagawa hawa waislam.Na ndicho kitu kinachofanyika.Bakwata ingekua ni taasisi yenye weledi maendeleo ya jamii ya waislam yangekua mbali sana
Mbona haijawagawa wasianzishe makampuni na club za mipira ya miguu?
 
INSHALLAH, wale wenye vijicho na mali za wenzao mungu awape ili roho zao zisiwaume wakapaka tope wenzao......
 
Hawa jamaa sijui wanalala masaa mangapi? wakati wengine wanaumiza kichwa kununua pikipiki wao wanaumiza kichwa kujenga tawi lingine la ofisi. Sometime the world is fair.
 
Watu wa Dar mnapendelea. Huku Tanga kuna tajiri anaitwa Shehoza. ana gorofa mbili Tanga na moja Lushoto. ana nyumba mbili Soni. Ana Semi kumi na mbili. fuso za kumwaga na vx lakutembelea. ni mfanyabiashara mkubwa sana Tanga. mbona simuoni kwenye listi yenum

akalime mapeasi kwao lushoto
 
arusha mtu akiwa mna jengo la ghorofa tano ni bilionea basi kama ni hivyo dar ina mabilionea ,aelfu elfu ghorofa zote za kariakoo
 
Bakhresa kauza sana pembe za ndovu kipindi hicho Watanzania hawajazinduka. Akahamia kwenye sembe. Utajiri wake kiasi kikubwa umeanzishwa na mambo ya kishetani.

Hapa tunajadili kiwango cha Utajiri SI CHANZO cha Utajiri Unaweza kutusaidia kujua Ufukara wako umeanzishwa na Mambo gani?
 
Huyo MO Dewji asiringe sana, hyo ni kiki ya baba ake
 
Back
Top Bottom