Naomba kujuzwa kuwa bilionea means ni lazima uwe na hela zaidi ya 1Bn?
Fedha nyingi za matajiri sio safi sana ukizichunguza, ila wengi wanazisafisha na kufungua makampuni na kutuajiri walau tunapata mkate wetu wa kila siku, washukuriwe kwa kupunguza uhaba wa ajiza kwa Wadanganyika, hebu fikiria Bakheresa asingewekeza pesa zake nchini? ametoa ajira nyingi sana,
Mwaka 2003 nilikuwa shocked pale ndugu yangu aliponionyesha acconts zake za benk ambapo wakati huo zilikuwa na 7.3 Bilion, anafanya biashara ya madini, lakini huwezi amini zote kaweka bank hata hajafungua kampuni walau akuze mtaji na kuajiri wadanganyika
Hongereni sana mabilionea msisahau kunishikia namba wakati Bwana akipenda nami nitakuja huko