Sijamuona Le Mutuz billionea kwenye list sijamuona Davis Mosha au forbes wamekosea?
Money can't buy you everything, iam sure despite all their monies, they still have some somrthing that pains their asses. Damn live! Damn it!!
shimbo si tuliambiwa anamiliki triliin 3? mbona hayupo kwenye list?
Mbona diamond simuoni kwenye list hapa?
mkuu anauza sembe na ngano nchi za africa masharikiBakhresa kauza sana pembe za ndovu kipindi hicho Watanzania hawajazinduka. Akahamia kwenye sembe. Utajiri wake kiasi kikubwa umeanzishwa na mambo ya kishetani.
Du! Wabongo kwa majungu tuu!!
comments kama hizo mara nyingi hutolewa na masikini wa kutupwa.
sasa hawa WAISLAM kwanini hawajipangi, kuanzisha taasisi za Elimu ya juu.?
Baba florah mzee wa helicopta je?
mkuu anauza sembe na ngano nchi za africa mashariki