Bakwata ipo kuwagawa hawa waislam.Na ndicho kitu kinachofanyika.Bakwata ingekua ni taasisi yenye weledi maendeleo ya jamii ya waislam yangekua mbali sana
pombe ni ushetani!?Bakhresa kauza sana pembe za ndovu kipindi hicho Watanzania hawajazinduka. Akahamia kwenye sembe. Utajiri wake kiasi kikubwa umeanzishwa na mambo ya kishetani.
Hapo wagalatia roho zinawauma kweli kweli!
Bakhresa kauza sana pembe za ndovu kipindi hicho Watanzania hawajazinduka. Akahamia kwenye sembe. Utajiri wake kiasi kikubwa umeanzishwa na mambo ya kishetani.
wana hela na wametuliakumbe maustadh mnahela wap papa msofe?