Mjue Bikira wa Kisukuma, kijana mhangaikaji mjini hapa

woga na ustaa mpenzi akienda kuchukua watamuona .. ule msemo mficha maradhi kifo umuumbua ndiyo hivyo tena ila alale kwa amani tu
kumbee...[emoji15] [emoji15] [emoji15]

Sent from my ZTE Kis3 max using JamiiForums mobile app
 
alisema arv ndo zinaua hakuna HIV mbona watu wanakufa wasipotumia sasa? Sky Eclat
Nimesoma makala, vijitabu na vitabu, na kusikiliza masimulizi na mahojiano kuhusu kuwepo au kutokuwepo, na mahusiano yaliyopo au yasiyokuwepo kati ya UKIMWI na HIV naona akili inachanganyikiwa tu.
 
Tulibishana sana hapa kuhusu hizi research za deception, ARV's ukizitumia kufuatana na maagizo unafikia undectable status hapo unakuwa huna wadudu kwenye mzunguko wa damu na CD4 wanaongezeka.
 
Tulibishana sana hapa kuhusu hizi research za deception, ARV's ukizitumia kufuatana na maagizo unaffiliated undectable status hapo unakuwa jina wadudu kwenye mzunguko wa damu na CD4 wanaongezeka.
Nimesoma makala, vijitabu na vitabu, na kusikiliza masimulizi na mahojiano kuhusu kuwepo au kutokuwepo, na mahusiano yaliyopo au yasiyokuwepo kati ya UKIMWI na HIV naona akili inachanganyikiwa tu.
inabidi tuanze kujifunza tena huu ugonjwa hapa jf maana tumejazwa uongo mwingi na Deception
 
We Jamaa ni noma sana kunakitu ulikiona.
 
Tulibishana sana hapa kuhusu hizi research za deception, ARV's ukizitumia kufuatana na maagizo unafikia undectable status hapo unakuwa huna wadudu kwenye mzunguko wa damu na CD4 wanaongezeka.
hivi sky mtu mwenye HIV si anaumwa umwa sana kila mara? sasa anaachaje kutumia dawa? mi nadhani sio cd4 bana miss chaga
Sijui bana labda aliona aibu kwenda kuchukua
 
hivi sky mtu mwenye HIV si anaumwa umwa sana kila mara? sasa anaachaje kutumia dawa? mi nadhani sio cd4 bana miss chaga
CD4 ni kama JWTZ mwilini, virusi ili viishi kwenye mwili vinajichanganya na CD4 cells na kuwanza kuviua na kutoa copy zenye virusi. Ukinwywa ARV zinaua virusi wanaotembea kwenye damu na ku inhibit virusi visizaliane. Virusi vikizibitiwa Jeshi la CD4 linaingezeka. Fikiria nchi bila jeshi la ulinzi kila adui atatushambulia ni kama mwili bila CD4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…