Mjue Bikira wa Kisukuma, kijana mhangaikaji mjini hapa

Mbona anaonekana si mzima huyu kwa macho tu,hawa watu wa alama zao kama watu wa freemasons
 
Ushababi na chunusi za shida vinahusianaje labda?
 
Kwakweli huyu jamaa kujiita bikira wa Kisukuma kila siku najiulizaga ni kwanini nakosa jibu....

Labda leo nitapata mwanga
Bikira maana yake ni hali ya kitu kutokuwa kimetumika. Sasa tatizo lililopo hapa ni watu kuelekeza maana hiyo kwa mwanamke ambaye hajawahi fanya mapenzi tu. Na ikitumika mahala pengine huonekana kama lugha chafu au isiyostahili. Huyu anajiita bikira wa kisukuma kwa sababu yeye anaamini ni msukuma mwenye vipaji vingi sana ikiwemo kuandika, kuimba, kutangaza, kunadi, na vingine vingi. Ila mpaka sasa havijatumika vyote. So anaubikira katika vipaji vyake. Nadhani utakuwa umenielewa mkuu.
 
Kijana wa kiume shababi alafu ujiite bikra haiingii akilini,,, mie nlimsikiaga mda sana nikajuaga punga so sikuendelea kumfuatilia,,, tuweni makini na haya majina ya kujipa maana yanaweza kukutambulisha tofauti na ulivyo aisee,,
 
Bikira πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…