Mjue Bikira wa Kisukuma, kijana mhangaikaji mjini hapa

Mjue Bikira wa Kisukuma, kijana mhangaikaji mjini hapa

Mwanaume ULIYEKAMILIKA Na SHABABI Lazima Uwe Na SURA CHUNGU, Yenye CHUNUSI Za SHIDA Na Mwonekano Wa KIBABE Huku KIKWAPA Kikiwa KINATEMA Kimtindo Siyo Kama Hao Vijana Wako Ambao Kiukweli Wanaonekana Kabisa Ni Members Wa KUTUKUKA Wa Magomeni Mapipa Kwa Macheni.
According to mtazamo wako khaaa uchafu Huo nani anataka inaonesha akili zako fupi na za kingese mwanaume mchafu Nani atakayekutaka sasa kwa mfano unanuka mpaka pumbu utakuwa mtu au choo cha soko.
 
Ye alisema lengo lake halikua kuajiriwa bali kujiajiri kuwa na kitu chake na aliamua kutumia mitandao ya kijamii kujitangaza.. enzi za facebook huko.. Ndio maana alichagua jina la Bikra wa kisukuma akiamini lita pata attention kwa watu wengi na pia kwa aina ya post atakazokua anaweka..

Mwisho wa siku jina likakua akaona haina haja ya kubadilisha... akaendelea ku stick nalo hadi sasa..
more likely huyu jamaa ni ile KEY POPULATION
 
Hii itakuwa ni series ya kila jumapili tutakuwa kila wiki tunatoa vijana wa kitanzania waliofanikiwa aidha kibiashara, au kwa kazi wanazofanya. Lengo ni kuwa support, kujua story zao wameanza anzaje ili yule, mimi, na wewe tuweze kuiga mifano toka kwao.

Kwa leo tunaanza na huyu jamaa Anayeitwa Giovani maarufu kwa jina la BIKIRA WA KISUKUMA.

Kijana huyu ni mfano wa kuigwa kwani aliona opportunity ya kimaisha kwenye simu yake ya mkononi. YES smartphone.

Kupitia MALAKI ya followers wake kupitia mtandao wa INSTAGRAM kijana huyu amekuwa akitoa elimu ya ujasiliamali jambo ambalo limekuwa ni mwanga kwa vijana wengi.

Kijana huyu kuthibitisha kuwa yeye ni mjasiliamali ameanzisha sehemu yake ya kujivinjati inaitwa THE PARLIAMENT ambapo sasa hivi ni habari ya mjini. Vile vile jamaa huyu ni mtangazaji wa E FM kipindi anachoshirikiana na LEGEND wa utangazaji nchini GARDER G.

Haya ndio machache ya BIKIRA wa kisukuma mengine ongezea wewe

maxresdefault.jpg

bikira%2Bwa%2Bkisukuma.jpg

DUbFmkjL.jpg

10499043_1439052436373157_2098609444_n.jpg

hqdefault.jpg
mkuu au n wewe ?
 
Hawa vijana maneno meeeengi!!Sijui kujiajili...Kuajiliwa sio dilii,matokeo yao wao wenyewe wameajiliwa kwenye radio za Fm.
Yaani kuwa Ma-MC kila Alhamisi kwenye send off na Jumamosi harusini tayari wanajiona babu kubwaaaa
 
Ninamfahamu huyu jamaa sana! Ni mtu mmoja fresh na kiukweli ana akili sanaaa tena sanaa sio kidogo...huyu ni graduate wa mambo ya biashara toka Tumaini University Iringa...amefanya kazi Exim, Bank M, Mbeya Cement, Twiga Cement, Airtel , Voda, Heineken hii yote ni ndani ya six au seven years...akaamua kuacha kazi na kuutafuta umaarufu mjini....washkaji wengi wanamkimbia kwa sababu wanaona kama anawaaibisha maana uwezo wake kichwani hakufaa aongozane na watu anaoongozana nao...hakupaswa kujirahisisha kutafuta cheap publicity...
Ila wengi hawajui kuwa haayo mafanikio wanayoyataja ya huyu jamaa ni ya online kwenye social media..yaani mbali na hapo jamaa hana mafanikio yoyote...labda kuwa na gari! ana akili sana lkn hajui kupanga maisha yake sidhani kama anaogopa kesho....anazeeka na ustaa anaacha kufanya mambo ya maana japo ana nafasi nyingi za kuingiza fedha sababu ana akili na anajua kutumia fursa....huyo utakuta hata pa kuishi hana anaishi kwa mtu...Seth it's high time now...ujidefine, ujue umekua...get yourself a home...au kampe company mdingi Changanyikeni....boresha geto lako pale nje kwa mzee...get a life...nadhani redioni uko vzr, andika vitabu, start a talk show or something....you can go far...achana na hii cheap publicity ya kumsaka Wema sijui Diamond....cha mwisho Seth umekuzwa kanisani...usimuache Mungu...cheap publicity isikutenge na muumba wako! rudi kanisani...ukimaliza starehe zako mtaani rudi kanisani japo once per week...sali...your mum will be proud where she is akijua hujaacha muongozo aliokupa! kila la kheri bikira...sina ukakasi na jina lako naona liko poa tu!
Hahaaaa mkuu we kweli unamjua huyu alikuwa jirani yangu pale changanyikeni na wazazi wake ni watu wa dini sana wanasali Aict magomeni alikuwa anaimba gospel na jamaa anaitwa gee sijui wameacha? G n seth
 
Back
Top Bottom