Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,352
Mshkaji poa ila speed yake ya umjini ni kama kuku aliyetoka bandani jua likikaribia kuzama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
According to mtazamo wako khaaa uchafu Huo nani anataka inaonesha akili zako fupi na za kingese mwanaume mchafu Nani atakayekutaka sasa kwa mfano unanuka mpaka pumbu utakuwa mtu au choo cha soko.Mwanaume ULIYEKAMILIKA Na SHABABI Lazima Uwe Na SURA CHUNGU, Yenye CHUNUSI Za SHIDA Na Mwonekano Wa KIBABE Huku KIKWAPA Kikiwa KINATEMA Kimtindo Siyo Kama Hao Vijana Wako Ambao Kiukweli Wanaonekana Kabisa Ni Members Wa KUTUKUKA Wa Magomeni Mapipa Kwa Macheni.
Bro na mi nijiite bikira wa kihehe? Mmh mbona kama u gay ivi. Halafu maelezo kuhusu yeye ni short adi sina nilichojifunza toka kwake.
me nilivyokuwa namsikia nilijuaga demWewe ulieandika ongeza maelezo. Na kuhusu u gay mwanaume kujiita bikira bro? Aipendezi
more likely huyu jamaa ni ile KEY POPULATIONYe alisema lengo lake halikua kuajiriwa bali kujiajiri kuwa na kitu chake na aliamua kutumia mitandao ya kijamii kujitangaza.. enzi za facebook huko.. Ndio maana alichagua jina la Bikra wa kisukuma akiamini lita pata attention kwa watu wengi na pia kwa aina ya post atakazokua anaweka..
Mwisho wa siku jina likakua akaona haina haja ya kubadilisha... akaendelea ku stick nalo hadi sasa..
Tambaza miaka ipi mkuuJina lake halisi ni Seth G. Katende, nimesoma naye Aza boy na Tambaza. Jamaa enzi za shule alikuwa ni smart, pia alikuwa anajiita bikra tangu Tambaza.
mkuu au n wewe ?Hii itakuwa ni series ya kila jumapili tutakuwa kila wiki tunatoa vijana wa kitanzania waliofanikiwa aidha kibiashara, au kwa kazi wanazofanya. Lengo ni kuwa support, kujua story zao wameanza anzaje ili yule, mimi, na wewe tuweze kuiga mifano toka kwao.
Kwa leo tunaanza na huyu jamaa Anayeitwa Giovani maarufu kwa jina la BIKIRA WA KISUKUMA.
Kijana huyu ni mfano wa kuigwa kwani aliona opportunity ya kimaisha kwenye simu yake ya mkononi. YES smartphone.
Kupitia MALAKI ya followers wake kupitia mtandao wa INSTAGRAM kijana huyu amekuwa akitoa elimu ya ujasiliamali jambo ambalo limekuwa ni mwanga kwa vijana wengi.
Kijana huyu kuthibitisha kuwa yeye ni mjasiliamali ameanzisha sehemu yake ya kujivinjati inaitwa THE PARLIAMENT ambapo sasa hivi ni habari ya mjini. Vile vile jamaa huyu ni mtangazaji wa E FM kipindi anachoshirikiana na LEGEND wa utangazaji nchini GARDER G.
Haya ndio machache ya BIKIRA wa kisukuma mengine ongezea wewe
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
hahahahahahahahahaha mpwaaa mbona unanitishaKwa jicho langu la kitabibu naona huyu kijana mpangilio wake wa homoni haujabalance kuna mahali umezidi....
na bikira mkuuAnahangaika na nini labda
huyu nae si mchicha mwibaHivi mwanaume ukiwa handsome unahisiwa vibaya kwanini?
sielewagi
Mbona hana u handsome wowote chaaaahuyu nae si mchicha mwiba
Hahaaaa mkuu we kweli unamjua huyu alikuwa jirani yangu pale changanyikeni na wazazi wake ni watu wa dini sana wanasali Aict magomeni alikuwa anaimba gospel na jamaa anaitwa gee sijui wameacha? G n sethNinamfahamu huyu jamaa sana! Ni mtu mmoja fresh na kiukweli ana akili sanaaa tena sanaa sio kidogo...huyu ni graduate wa mambo ya biashara toka Tumaini University Iringa...amefanya kazi Exim, Bank M, Mbeya Cement, Twiga Cement, Airtel , Voda, Heineken hii yote ni ndani ya six au seven years...akaamua kuacha kazi na kuutafuta umaarufu mjini....washkaji wengi wanamkimbia kwa sababu wanaona kama anawaaibisha maana uwezo wake kichwani hakufaa aongozane na watu anaoongozana nao...hakupaswa kujirahisisha kutafuta cheap publicity...
Ila wengi hawajui kuwa haayo mafanikio wanayoyataja ya huyu jamaa ni ya online kwenye social media..yaani mbali na hapo jamaa hana mafanikio yoyote...labda kuwa na gari! ana akili sana lkn hajui kupanga maisha yake sidhani kama anaogopa kesho....anazeeka na ustaa anaacha kufanya mambo ya maana japo ana nafasi nyingi za kuingiza fedha sababu ana akili na anajua kutumia fursa....huyo utakuta hata pa kuishi hana anaishi kwa mtu...Seth it's high time now...ujidefine, ujue umekua...get yourself a home...au kampe company mdingi Changanyikeni....boresha geto lako pale nje kwa mzee...get a life...nadhani redioni uko vzr, andika vitabu, start a talk show or something....you can go far...achana na hii cheap publicity ya kumsaka Wema sijui Diamond....cha mwisho Seth umekuzwa kanisani...usimuache Mungu...cheap publicity isikutenge na muumba wako! rudi kanisani...ukimaliza starehe zako mtaani rudi kanisani japo once per week...sali...your mum will be proud where she is akijua hujaacha muongozo aliokupa! kila la kheri bikira...sina ukakasi na jina lako naona liko poa tu!
mchicha mwenzanguMbona hana u handsome wowote chaaaa
HAHAHA HONGERENImchicha mwenzangu