Ninamfahamu huyu jamaa sana! Ni mtu mmoja fresh na kiukweli ana akili sanaaa tena sanaa sio kidogo...huyu ni graduate wa mambo ya biashara toka Tumaini University Iringa...amefanya kazi Exim, Bank M, Mbeya Cement, Twiga Cement, Airtel , Voda, Heineken hii yote ni ndani ya six au seven years...akaamua kuacha kazi na kuutafuta umaarufu mjini....washkaji wengi wanamkimbia kwa sababu wanaona kama anawaaibisha maana uwezo wake kichwani hakufaa aongozane na watu anaoongozana nao...hakupaswa kujirahisisha kutafuta cheap publicity...
Ila wengi hawajui kuwa haayo mafanikio wanayoyataja ya huyu jamaa ni ya online kwenye social media..yaani mbali na hapo jamaa hana mafanikio yoyote...labda kuwa na gari! ana akili sana lkn hajui kupanga maisha yake sidhani kama anaogopa kesho....anazeeka na ustaa anaacha kufanya mambo ya maana japo ana nafasi nyingi za kuingiza fedha sababu ana akili na anajua kutumia fursa....huyo utakuta hata pa kuishi hana anaishi kwa mtu...Seth it's high time now...ujidefine, ujue umekua...get yourself a home...au kampe company mdingi Changanyikeni....boresha geto lako pale nje kwa mzee...get a life...nadhani redioni uko vzr, andika vitabu, start a talk show or something....you can go far...achana na hii cheap publicity ya kumsaka Wema sijui Diamond....cha mwisho Seth umekuzwa kanisani...usimuache Mungu...cheap publicity isikutenge na muumba wako! rudi kanisani...ukimaliza starehe zako mtaani rudi kanisani japo once per week...sali...your mum will be proud where she is akijua hujaacha muongozo aliokupa! kila la kheri bikira...sina ukakasi na jina lako naona liko poa tu!