Mjue Bikira wa Kisukuma, kijana mhangaikaji mjini hapa

Mjue Bikira wa Kisukuma, kijana mhangaikaji mjini hapa

Mwengine utakuwa ww

ImageUploadedByJamiiForums1429147516.538645.jpg

You are just a retard dumbass
 
Nimekua nikimfatilia sana huyu kijana na inspiration stories zake za kuhamasisha vijana kuacha kuajiriwa na kujiajiri wenyewe kama alivyofanya yeye kuacha kazi Heinken.....na miminikaacha kazi bwana ..Joto nalokula huku mtaani ni mm mwenyewe najua.

Cha kushangaza aliyekua anatushauri naona kaajiriwa E-FM .....KWELI NIMEAMINI MAISHA BILA UNAFIKI HAYAENDI
Kama huna kazi ndio unakua na mawazo ya kujiajiri
 
Bro na mi nijiite bikira wa kihehe? Mmh mbona kama u gay ivi. Halafu maelezo kuhusu yeye ni short adi sina nilichojifunza toka kwake.

Haaa ye mwenyewe alishasema sio shoga ambae haamini ampatie dem wake aone anavyosimamia ukucha...

Mie napendaga post zake sometime.. C.T.U mwambie Bikira apunguze umbea basi lols
 
Nadhani huyu jamaa alikuwa anajifanya mwanamke kwenye mitandaoo ya kijamii kwa lengo la kuzingua watu ila mwisho wa siku jina likawa kubwa akaamua kubaki nalo

Ye alisema lengo lake halikua kuajiriwa bali kujiajiri kuwa na kitu chake na aliamua kutumia mitandao ya kijamii kujitangaza.. enzi za facebook huko.. Ndio maana alichagua jina la Bikra wa kisukuma akiamini lita pata attention kwa watu wengi na pia kwa aina ya post atakazokua anaweka..

Mwisho wa siku jina likakua akaona haina haja ya kubadilisha... akaendelea ku stick nalo hadi sasa..
 
Kwakweli huyu jamaa kujiita bikira wa Kisukuma kila siku najiulizaga ni kwanini nakosa jibu....

Labda leo nitapata mwanga
Mie nikidhami mwanamke nashangaa leo naona picha za kiume.hizi AKA zinaathiri sana kizazi hiki,mtoto rijali wa kiume unaanzaje kujiita bikira???kwa uelewa wangu neno BIKIRA linafit kwa KE tu si vinginevyo,hiyo bikira anayoringia ni ipi!
 
Mie nikidhami mwanamke nashangaa leo naona picha za kiume.hizi AKA zinaathiri sana kizazi hiki,mtoto rijali wa kiume unaanzaje kujiita bikira???kwa uelewa wangu neno BIKIRA linafit kwa KE tu si vinginevyo,hiyo bikira anayoringia ni ipi!

Kwani wanaume hawana Bikira Lols..
 
Back
Top Bottom