jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,645
- 4,438
Jamaa anapiga sana aliqah mpgiga mwal kipindi tupo shule ambay alikuwa mbabe mtaan huyo Mwal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
andika vizuri jombaaJamaa anapiga sana aliqah mpgiga mwal kipindi tupo shule ambay alikuwa mbabe mtaan huyo Mwal
Utamuaribia nyuma ya keyboard au wapi mkuu?huyo hawezi kusimama na mm kwa japo dk1.ntamuharibu mpaka mumkatae!!
Swissme
Ndugu sasa unaleta utetezi ule wa nishikeni, nitampiga huyu.Naona anafanya physical tu sioni basic huyu mkinipa Mimi nipambane nae hachukui dakika 3 atakuwa chini akisubiri ambulance
Ndugu sasa unaleta utetezi ule wa nishikeni, nitampiga huyu.
Wewe usingoje upewe, mtafute kwenye anga zake, umjaribu sisi tusikia tu kupitia vyanzo habari, ila kama utabakizwa kidogo, ama utampiga ulete mrejesho, sisi tutajua tu kua ndiyo wewe.