Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma hapa kwa uzi huu niliutoa kipind cha nyuma mwaka 2015 Mjue Bodigadi wa Diamond, kumbe ni 'Komandoo Kipensi'Wadau habari zenu, nina swali, kama lilivyo hapo juu, huyu jamaa mbavu ,bodyguard wa diamond maarufu kama mwarabu fighter ana combat skills zozote au ni ile tu kua na mwili nyumba uliojengeka naturally na "dietary menu" kama cement za dangote.
Na kuongeza tizi ( massive effective workout routines)
Sasa ivi Arafat ngumi jiwe anajishughulisha na kazi ya kukamata pikipiki ziendazo mjini,kiufupi yupo kampuni ya udalali inaitwa TambazaTeheeee teehee nimemkumbuka Arafat Ngumi Jiwe yule baunsa wa Dully alitamba sana sasa si ndo akajichanganya ku-msodoma dogo kwa nguvu acha wana wa kitaa wamdandie nae akaliwa kiboga safiiii na ngumi kadhaa akachezea,sijui kapotelea wapi na wana mikwara hawa.
Sawa huyu anataka tumpe sisi, si aende tu. Najua kupigana sio mbinu tu bali ni ujuzi pia.Kupigana mbinu yakhe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna Siku nili ingia kwenye mikono ya .walimu wa karate nilikua naomba atokee MTU kuamua ugomvi.maana ningetoka mbio ambayo ndio ilikua option ingekua aibu sana maana kitaa na gym yetu walikua wana niaminia kwa boxing