Mjue Bodigadi wa Diamond, kumbe ni 'Komandoo Kipensi'

Dalisalama mbona mpo legelege sana

Huyu ukimpeleka kwa wema au ndauka au Lulu

Hachomoi......mtupu kama samsoni wa delila
 
Soma hapa kwa uzi huu niliutoa kipind cha nyuma mwaka 2015 Mjue Bodigadi wa Diamond, kumbe ni 'Komandoo Kipensi'
 
Sasa unatuuliza sisi, nafikiri ungefanya nae majaribio ndio uje na maada ili tujue rojo la chipsi yai na zege la muhogo kipi ni bora
 
Daa maswali mengine bwana kamuulize mhusika
 
Sasa ivi Arafat ngumi jiwe anajishughulisha na kazi ya kukamata pikipiki ziendazo mjini,kiufupi yupo kampuni ya udalali inaitwa Tambaza
 
hahaaaa eti directly menu ..kama mifuko ya nni ??
hahaaaa


pale Hamna kitu mkuu''manyama ya sambusa tu ..yaani mtu apitie mafunzo yote Apache kwenda kuwalinda kina bakhresa huko akawalinde watu wa madale
 
we tumia minguvu mi natumia teknolojia na intellegensia utasikia man down[emoji12]
 
Vitisho alovyo navyo Diamond ni kusongwa na Mashabiki na kufanyiwa kama Harmonize kwa hiyo mlinzi anaitajika tu awe na mwili mkubwa kinyume na ubongo basi
 
Kuna Siku nili ingia kwenye mikono ya .walimu wa karate nilikua naomba atokee MTU kuamua ugomvi.maana ningetoka mbio ambayo ndio ilikua option ingekua aibu sana maana kitaa na gym yetu walikua wana niaminia kwa boxing
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nadhani aliwahi kuwa Mr.Tanzania 2008 lazima atakua yupo vzr
 
Ila wabongo bhana wangese saana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Eti kila mtu anayecomment humu anajikuta Jet Li , eti huyo hamalizi dk 3 [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mwingine anakwambia mm natumia intelligencia, mwingine anakwambia namchomolea mguu wa kuku [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wote hawa wana wivu wa Kike! Mtoa mada kauliza swali huyo baunsa ana mafunzo gani, badala ya kujibu kila mtu anajisifia [emoji23] [emoji23] mwingine anasema hayo manyama tuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee wewe kama hauna nyama pambana na hali yako kitendo tu cha kuwa baunsa ni silaha tosha, fanyeni mazoezi vijana wa Dar sio kutwa kupiga selfie maghorofani kusifia camera eti Cannon cjui ni nini,
 
Nimegundua matahira wengi wa kibongo movie zinawadanya saana, kwenye movie kuna script kabisa imeandikwa jambazi apigwe wao wanadhani kupigana na baunsa ni kitu kidogo saana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] We jichanganye tu uone moto wake! Turudi kwenye swali, Honestly sijui huyo jamaa ana mafunzo gani ila hata kama hana mafunzo yoyote inatosha saana hvyo alivyo maana kazi yake kubwa kumlinda Diamond asizongwe na mashambiki
 
Amepitia mafunzo ya kupiga debe stend ya Ubungo na kubeba mizigo miaka 10 kuanzia mwaka 2000
 
Jana usiku niliota nampiga denda Anold swaznega pamoja na Rambo,,ije kuwa huyo bodyguard mwenye kitambi[emoji1321]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…