Mjue Bodigadi wa Diamond, kumbe ni 'Komandoo Kipensi'

bwana wake mtu wa promo na yeye ameiga kawa mtu wa promo shauri yake ipo siku atakuja huku nilipo nitamtatua malinda huyo dada mpaka kuvimbewa kwake kutaisha na mshahara wake wa laki tatu
 
Siku hizi ukomandoo limekuwa neno rahisi sana.
 
Hamna kitu hapa body tu ukiangalia hata stensi na kicking zake ni kama alijiandaa kwa picha.kabend hapo akikutana na tunao jua tunaharibu reception.angalia hiyo mawash gel ilivyo na broking ya hilo gel ni ujinga tu
 
Hamna kitu hapa body tu ukiangalia hata stensi na kicking zake ni kama alijiandaa kwa picha.kabend hapo akikutana na tunao jua tunaharibu reception.angalia hiyo mawash gel ilivyo na broking ya hilo gel ni ujinga tu
Na hiyo ya Gidani kwenda kwenye pumbu :becky:
 
we jidanganye afu uje kutana na gusa unate akikupa ngumi jiwe....
martial art hatari kuliko zote ambazo ninaziaminia ni za china (shaolin kung fu), japan (shotokan karate) na south korea (tai kwondo). hizi ukiwa na black belt, unawezakumfanya mtu kitu mbaya sana. i am glad nina black belt ya mojawapo ya hizo. huyo bodigadi wa diamond amecheze martial art fulani ya iran ambayo iko kwenye form of wrestling yaani mieleka. hii ni mieleka ya kiiran, kama unavyoiona hapo kwenye picha aliyopost.

mcheza mieleka iliyochanganywa kidogo sana na combat, hawezi kabisa kumpiga black belt wa shaolin kung fu au shotokan karate. atapigwa kama mtoto mdogo. huyo jamaa mimi naweza kumpiga kama amesimama tu. alivyorusha hilo teke, opponent yupo kwenye nafasi either ya kutumia mikono kilaini tu na kublash huo mguu atadondoka huko na kitakachofuata....., au anaweza kufunjwa kabisa miguu hiyo kwa jinsi alivyosimama. anapigana ngumi za mtaani kabisa.

angejua wala asingekuja hapa kujitangaza kwasababu amejianika hadi hao watoto wadogo wa visuruari vinjiwa huko kwenye misikiti wakikutana na huyo bro anaweza kufanyiwa surprise mbaya sana.

jaribu kugoogle mieleka hiyo ya iran aliyocheza inayoitwa "koshti pahlevani", au angalia na youtube uione. hana lolote huyo mchumba tu.
 
Wabongo kwa kubeza si mjaribu kumletea za kuleta tuone mfano!
 
Msimpambe sana mkafanya aliwe kiboga bure... Km yule aliyejiita ngumi jiwe..
 
Wabongo kwa kubeza si mjaribu kumletea za kuleta tuone mfano!
huyo ni mchumba tu hana lolote. nakuambia ukweli. we acha siku moja aje akutane na wanaume aaibishwe mbele ya diamond na zari, na kibarua ndio kitaisha siku hiyohiyo.
 
Na hivyo vyeti naona kama vya mieleka, halafu sijui ukomandoo wake kautumikia nchi gani mbona simkumbuki huyu kijana kwenye kambi zetu?

mkuu umetisha sana... inaonekana na wewe ni mbavu ni nene saizi ya huyu wa diamond?
 
mkuu umetisha sana... inaonekana na wewe ni mbavu ni nene saizi ya huyu wa diamond?

ha!ha!Ha! usiogope mkuu sisi ni wale akina utaathirika ukijichanganya!ukija ovyo u will never know what hit you and when you got hit!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…