martial art hatari kuliko zote ambazo ninaziaminia ni za china (shaolin kung fu), japan (shotokan karate) na south korea (tai kwondo). hizi ukiwa na black belt, unawezakumfanya mtu kitu mbaya sana. i am glad nina black belt ya mojawapo ya hizo. huyo bodigadi wa diamond amecheze martial art fulani ya iran ambayo iko kwenye form of wrestling yaani mieleka. hii ni mieleka ya kiiran, kama unavyoiona hapo kwenye picha aliyopost.
mcheza mieleka iliyochanganywa kidogo sana na combat, hawezi kabisa kumpiga black belt wa shaolin kung fu au shotokan karate. atapigwa kama mtoto mdogo. huyo jamaa mimi naweza kumpiga kama amesimama tu. alivyorusha hilo teke, opponent yupo kwenye nafasi either ya kutumia mikono kilaini tu na kublash huo mguu atadondoka huko na kitakachofuata....., au anaweza kufunjwa kabisa miguu hiyo kwa jinsi alivyosimama. anapigana ngumi za mtaani kabisa.
angejua wala asingekuja hapa kujitangaza kwasababu amejianika hadi hao watoto wadogo wa visuruari vinjiwa huko kwenye misikiti wakikutana na huyo bro anaweza kufanyiwa surprise mbaya sana.
jaribu kugoogle mieleka hiyo ya iran aliyocheza inayoitwa "koshti pahlevani", au angalia na youtube uione. hana lolote huyo mchumba tu.