Mjue Bodigadi wa Diamond, kumbe ni 'Komandoo Kipensi'

Comando ni the first person kuongoza wenzake ktk tukio flani especially shambulizi.
sasa hii inahitaji akili sana sio kunyenyua tu vyuma nakusimama nyuma ya mwanaume mwenzio.

Comando pia humaanisha mtu yule anaevaa vinguo vifup bila ya chupi, kwamujibu urban dictionary.
nazan yeye atakua kalenga hapa.

Urban Dictionary: comando
 
martial art hatari kuliko zote ambazo ninaziaminia ni za china (shaolin kung fu), japan (shotokan karate) na south korea (tai kwondo). hizi ukiwa na black belt, unawezakumfanya mtu kitu mbaya sana. i am glad nina black belt ya mojawapo ya hizo. huyo bodigadi wa diamond amecheze martial art fulani ya iran ambayo iko kwenye form of wrestling yaani mieleka. hii ni mieleka ya kiiran, kama unavyoiona hapo kwenye picha aliyopost.

mcheza mieleka iliyochanganywa kidogo sana na combat, hawezi kabisa kumpiga black belt wa shaolin kung fu au shotokan karate. atapigwa kama mtoto mdogo. huyo jamaa mimi naweza kumpiga kama amesimama tu. alivyorusha hilo teke, opponent yupo kwenye nafasi either ya kutumia mikono kilaini tu na kublash huo mguu atadondoka huko na kitakachofuata....., au anaweza kufunjwa kabisa miguu hiyo kwa jinsi alivyosimama. anapigana ngumi za mtaani kabisa.

angejua wala asingekuja hapa kujitangaza kwasababu amejianika hadi hao watoto wadogo wa visuruari vinjiwa huko kwenye misikiti wakikutana na huyo bro anaweza kufanyiwa surprise mbaya sana.

jaribu kugoogle mieleka hiyo ya iran aliyocheza inayoitwa "koshti pahlevani", au angalia na youtube uione. hana lolote huyo mchumba tu.

Mkuu kauli zako zinaonesha kwamba unadanganya hadhila.
ungekua na ata yellow belt usingeweza kusema hapa.

Michezo yote hiyo inabase ktk swala la nidhamu.
kuna watu wanazo dani za àjabu humu ndani.
 
mkuu, nasema mbele za mungu, ninayo black belt. na sidhani kwamba nimevunja nidhamu hapa. tangu nianze haya mavitu sijawahi kupigana na raia yeyote yule na sitegemei kupigana kwasababu huwa nahisi nitawaumiza tu. zaidi ya kucheza kumite kwenye ulingo, sijawahi piga mtu na sitegemei kupiga mtu.
 
hongera kaka.mi nimekuelewa binafsi nilichezaga kidogo sana martial arts .(arigato & sayonara)
 
Sasa mbona mguu ni inverse proportion to Body ya juu.:confused2:
 
Teheeee teehee nimemkumbuka Arafat Ngumi Jiwe yule baunsa wa Dully alitamba sana sasa si ndo akajichanganya ku-msodoma dogo kwa nguvu acha wana wa kitaa wamdandie nae akaliwa kiboga safiiii na ngumi kadhaa akachezea,sijui kapotelea wapi na wana mikwara hawa.
Ukifirwa lazima upoteee
 
Awachokoze wazee wa kungoa kucha na meno aone anavyofanywa

mnakumbuka story ya komandoo aliyetaka kufanya uhaini Jasusi joka kuu mko wapi mutupe utamu maana kuna hadi kitabu nasikia
Mkuu hao wag'oa kucha Na meno wana heshima Na wanajiheshimu
Hata siku huwezi sikia akijigamba au kudhalilisha.
Ndio maana wanaheshimika.
 
mweupe sana na hana lolote kuna bodigad wa dully alipewa promo humu baadae akaja gundulia analiwa kiboga eti walimuita ngumi jiwe huku anapumuliwa tz kwa mizaha
Mabouncer wengi wanapumuliwa wanaamini manii zinawapa nguvu ya ziada
 
wacha uongo alienda kwenye mieleka akadundwa.
 
Bodigadi wa Diamond, Mwarabu Seleman Mirundi, akifanya mazoezi ya kikomandoo kwenye msitu wa chuo kikuu kuhofia watu wasione mazoezi yake.

Juu picha za wanajeshi wa Irani ambao pia ni makomandoo ambao awefanyanao mazoezi. Hapa akiwajibika kumlinda boss wake nchini Burundi.

Mwarabu Seleman Mirundi akiwa nchini Iran hivi karibuni alipokwenda kwa mara ya kwanza kushiriki michezo ya mapigano ya hatari ambayo hufanywa na wanajeshi hasa walifuvu ukomandoo.

Mwarabu Seleman Mirundi akiwa nyuma ya bendera ya Tanzania tayari kupambana na Komandoo wa Iran ambae hata hivyo alimchakaza vibaya na kuokolewa raundi ya kwanza.

Hiki ni cheti alichotunukiwa nchini Iraq baada ya kumsambaratisha Komandoo wa nchi hiyo ambae hakumtaja jina. Hiki pia cheti alichotunukiwa na nchini Mozambique baada ya kuwatandika wanajeshi kadhaa nchini humo.

Maskani Bongo Tz, Mwarabu akifanya mazoezi mepesi na mmoja wa maofisa usalama wa nchini Tanzania .

Jamaa huyu hakuwa anafahamika sana hata kwenye matamasha mbalimbali ulikuwa huwezi kumkuta lakini baada ya kupata kazi ya kumlinda staa wa Bongo Flava nchini, Naseeb Abdul Diamond, alianza kujulikana zaidi huku watu wakimchukulia kama mtu wa kawaida sana kama mabaunsa wengine.

Jina lake halisi anaitwa Mwarabu Suleiman Mirundi. Baada ya kupata taarifa za kuwa huyu jamaa si mtu wa kawaida kwenye jamii, ilifanyika jitihada za kumtafuta huku kupatikana kwake huwa ni kwa nadra sana. Huwezi kumkuta mitaani kama tuwaonavyo mabaunsa wengine wanazurura mitaani.

Baada ya kutonywa sehemu anapoweza kupatikana kijana huyo ambapo ni msitu wa chuo kikuu ndiko anakofanyia mazoezi mara nyingi akiwa na mwanamuziki na bondia Zola D ndipo nilipofunga safari hadi huko na kumkuta kijana huyo akifanya mazoezi ya hatari kuyaona.

Mwarabu alianza kuelezea ingawa hakupenda watu wajue kama yeye ni mtu wa aina hiyo lakini alianza kufunguka kama ifuatavyo;

"Dada mimi ni Komandoo lakini sio wa JWTZ hapana nimefuvu mazoezi haya ya mapigano nchini Iran toka mwaka 2010 baada ya kwenda kule kucheza mchezo wa kutumia mabavu ndipo niliposhinda kwa kumchakaza vibaya Komandoo wa Iran"

Alisema Mwarabu Baada ya hapo Jeshi la nchi hiyo baada ya kumuona sio mtu wa kawaida kuwa raia wa kawaida ndipo alipochukuliwa Kambini humo kwa ajili ya kufanya mazoezi hayo ya hatari duniani hadi mwaka juzi 2013 ndipo walipompatia cheti cha kuhitimu kama kinavyoonekana pichani.

Hata hivyo Mwarabu anasema kwa jinsi alivyo na mazoezi aliyoyapata chini ya watu kumi hatakiwi kupigana nao hata wakija na shoka isipokuwa zaidi ya hapo ndipo kidogo atawapiga makofi tu na kuwaacha lakini sio aseme atoe kichapo kwani pigo lake moja mtu anabadilishwa jina mara moja na kuitwa marehemu.

Mwarabu ambae kwa sasa ameajiriwa na mwanamuziki Diamond na analipwa mshahara mnono kwa kazi ya kumlinda ambapo hadi sasa amenunua viwanja kadhaa na ujenzi unaendelea na si nyumba za kitoto huku akiwa na usafari zaidi ya gari tatu ambapo moja boss wake alimnunulia na mbili amenunua kwa mshahara anaomlipa na hadi sasa anakafikisha kilo 190 wastani wa kilo 200.

View attachment 250760
View attachment 250759
View attachment 250761View attachment 250755
View attachment 250757
View attachment 250758
attachment.php
Misitu... Hahahahaaaa naona yupo msituni.
 
Kwaiyo tufanyeje???
 
Back
Top Bottom