Mjue Bodigadi wa Diamond, kumbe ni 'Komandoo Kipensi'

Watu wenye miili hiyo, wanakuwa waoga sana na majeraha,ukitaka kumpatia mueendee na nyembe au spoku,uone atakavyo toka mbio,nakumbuka zamani pale Tazara enzi za mayenu kuna mmoja alikuwa anazunguka magari kwa kuogopa waya wa mshikaki,halafu huyo ni mcheza mieleka sidhani yuko kama wale pdiddy au Kanye west
 
Sasa Hayo Mazoezi Yote Alikua Anayachukua Kwa Kazi Gani, Mbona Sijackia Baada Yakuhitimu Mafunzo Aliajiriwa Kazi Fulani, Sema Yeye Ni Mnyanyua Vitu Vizito, Sio Komando,
 
Habari Wadau



Nimekuwa nikimfatilia huyu jamaa anayeitwa Mwarabu Fighter a.k.a body guard wa Chibu dangote bin laden platnumz.

Sasa katika kumwangalia kwangu namuona jamaa kweli ni mkakamavu na amekomaa kweli. Lakini najiuliza maswali kadhaa,

1. Je huyu jamaa ana mafunzo yoyote ya kijeshi?

2. Je anaruhusiwa kumpiga mtu pindi akimsogelea diamond?

3. Je ukimsogelea diamond atakufanya nini?

4. Je sheria inamruhusu kumpiga mtu atakayemsogelea Diamond platnumz??

5. Je anajua kutumia silaha?

6. Je pale alipo ana silaha yoyote?

Na je ametoa wapi utaalamu wa kuwa body guard? Maana kuwa mzinzi binafsi sio kazi rahisi kwani unatakiwa kupata mafunzo maalum nchi mbalimbali au pia kwenye majeshi vikosi maalum..


Mwenye kumjua huyu jamaa naomba taarifa zake tafadhali. Bila kisahau elimu yake na wasifu kwa ujumla (CV)

ASANTENI







 
Mafunzo ya kijeshi sidhani labda atakua kapitia mafunzo ya kujihami dhidi ya adui bila kutumia silaha(self defence) hasa martial arts.

Alafu jeshini unaweza kua baunsa na bado ukatoroka kozi, kule unaambiwa ni uvumilivu tu sio size ya mwili wako.

Baunsa akipigwa doso anaweza kulia kama mdada[emoji23]
 
Umasikini unanunuliwa ila utajiri Ni akili ya mtu. Chibu ipo siku ataomba mchango wote mtanikubali maneno yangu.
 
KUKWEPA NDEGE HAWEZI HUYO ACHA HABARI YA DOSO
 
Kweli mkuu jeshini ni uvumilivu tu.

Nakubaliana na wewe kwenye hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…