Siwezi kumfanyia fujo. Pia sitegemei hata siku moja kumsogelea huyo diamondSiku moja mfanyie fujo diamond ili udhibitishe
Sasa kama mtu huna mafunzo yoyote ya vip protection. Maana basi ni rahisi tu diamond kudhuriwaHana mafunzo yeyote ya VIP ila ni mtu wa mazoezi tu,mara nyingi namuona beach ununio akifanya mazoezi.
Watu wanaojidai wamepita mafunzo ya majeshi wanaringaga jaman.KUKWEPA NDEGE HAWEZI HUYO ACHA HABARI YA DOSO
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu nimecheka jpo cijaelewa hyo doso ndo nn??Mafunzo ya kijeshi sidhani labda atakua kapitia mafunzo ya kujihami dhidi ya adui bila kutumia silaha(self defence) hasa martial arts.
Alafu jeshini unaweza kua baunsa na bado ukatoroka kozi, kule unaambiwa ni uvumilivu tu sio size ya mwili wako.
Baunsa akipigwa doso anaweza kulia kama mdada[emoji23]
AhahahahaPamoja na shida na matatizo yote haya unapata wasaa wakumwaza mwarabu fighter [emoji23][emoji23][emoji23] mkuu unaandika research au?
sijakuelewa!Umasikini unanunuliwa ila utajiri Ni akili ya mtu. Chibu ipo siku ataomba mchango wote mtanikubali maneno yangu.
Doso hatari tena kwa Mabaunsa ni shida wanaliaga[emoji23] [emoji23]Mafunzo ya kijeshi sidhani labda atakua kapitia mafunzo ya kujihami dhidi ya adui bila kutumia silaha(self defence) hasa martial arts.
Alafu jeshini unaweza kua baunsa na bado ukatoroka kozi, kule unaambiwa ni uvumilivu tu sio size ya mwili wako.
Baunsa akipigwa doso anaweza kulia kama mdada[emoji23]
Ni shida Mkuu[emoji125] [emoji134] [emoji23] [emoji23]Pamoja na shida na matatizo yote haya unapata wasaa wakumwaza mwarabu fighter [emoji23][emoji23][emoji23] mkuu unaandika research au?
Wee Akionekana Online atatumbuliwaa[emoji23] [emoji23]Bodyguard anajitahidi kupost Instagram[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hivi na yule wa mkulu yupo social network
[emoji134]mweupe sana na hana lolote kuna bodigad wa dully alipewa promo humu baadae akaja gundulia analiwa kiboga eti walimuita ngumi jiwe huku anapumuliwa tz kwa mizaha
kama wewe kwa upupu huu unaoandika ni graduate basi kwenda shule haina maana. Acha ujinga huo wa kujisifia kuhusu shule. Ukiona mtu anajisifia jisifia kuhusu shule jua ana inferiority complex. Angalizo usidhani nayekueleza hivi sijasoma. Nimesoma sana lakini naona ni ujinga kujiona wewe ni bora kuliko wengine kisa ni graduate..Watu wanaojidai wamepita mafunzo ya majeshi wanaringaga jaman.
Mnasahau kuwa mlienda huko baada ya kukosa raamani kitaa. Wengi wenu ni failures au basi hata kama ni ma graduates basi mlikosa mishe kitaa au mliogopa changamoto za ajira.
Ila mkishatokaga huko mnajiona sijui kama nyie ni watu gani. Kumbe si tunawahurumia tu
Je unazijua kazi ambazo watu huzifanya kama last option? Au kimbilio? Baada ya either kuona atashindwa competition ya ajira au baada ya kutafuta kazi na kukosa au kwa ajili ya kukimbilia tu job security..??kama wewe kwa upupu huu unaoandika ni graduate basi kwenda shule haina maana. Acha ujinga huo wa kujisifia kuhusu shule. Ukiona mtu anajisifia jisifia kuhusu shule jua ana inferiority complex. Angalizo usidhani nayekueleza hivi sijasoma. Nimesoma sana lakini naona ni ujinga kujiona wewe ni bora kuliko wengine kisa ni graduate..