Mjue Bodigadi wa Diamond, kumbe ni 'Komandoo Kipensi'

Mjue Bodigadi wa Diamond, kumbe ni 'Komandoo Kipensi'

Hana mafunzo yeyote ya VIP ila ni mtu wa mazoezi tu,mara nyingi namuona beach ununio akifanya mazoezi.
Sasa kama mtu huna mafunzo yoyote ya vip protection. Maana basi ni rahisi tu diamond kudhuriwa
 
KUKWEPA NDEGE HAWEZI HUYO ACHA HABARI YA DOSO
Watu wanaojidai wamepita mafunzo ya majeshi wanaringaga jaman.
Mnasahau kuwa mlienda huko baada ya kukosa raamani kitaa. Wengi wenu ni failures au basi hata kama ni ma graduates basi mlikosa mishe kitaa au mliogopa changamoto za ajira.

Ila mkishatokaga huko mnajiona sijui kama nyie ni watu gani. Kumbe si tunawahurumia tu
 
Mafunzo ya kijeshi sidhani labda atakua kapitia mafunzo ya kujihami dhidi ya adui bila kutumia silaha(self defence) hasa martial arts.

Alafu jeshini unaweza kua baunsa na bado ukatoroka kozi, kule unaambiwa ni uvumilivu tu sio size ya mwili wako.

Baunsa akipigwa doso anaweza kulia kama mdada[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu nimecheka jpo cijaelewa hyo doso ndo nn??
 
Mafunzo ya kijeshi sidhani labda atakua kapitia mafunzo ya kujihami dhidi ya adui bila kutumia silaha(self defence) hasa martial arts.

Alafu jeshini unaweza kua baunsa na bado ukatoroka kozi, kule unaambiwa ni uvumilivu tu sio size ya mwili wako.

Baunsa akipigwa doso anaweza kulia kama mdada[emoji23]
Doso hatari tena kwa Mabaunsa ni shida wanaliaga[emoji23] [emoji23]
 
mweupe sana na hana lolote kuna bodigad wa dully alipewa promo humu baadae akaja gundulia analiwa kiboga eti walimuita ngumi jiwe huku anapumuliwa tz kwa mizaha
[emoji134]
 
Watu wanaojidai wamepita mafunzo ya majeshi wanaringaga jaman.
Mnasahau kuwa mlienda huko baada ya kukosa raamani kitaa. Wengi wenu ni failures au basi hata kama ni ma graduates basi mlikosa mishe kitaa au mliogopa changamoto za ajira.

Ila mkishatokaga huko mnajiona sijui kama nyie ni watu gani. Kumbe si tunawahurumia tu
kama wewe kwa upupu huu unaoandika ni graduate basi kwenda shule haina maana. Acha ujinga huo wa kujisifia kuhusu shule. Ukiona mtu anajisifia jisifia kuhusu shule jua ana inferiority complex. Angalizo usidhani nayekueleza hivi sijasoma. Nimesoma sana lakini naona ni ujinga kujiona wewe ni bora kuliko wengine kisa ni graduate..
 
Je unazijua kazi ambazo watu huzifanya kama last option? Au kimbilio? Baada ya either kuona atashindwa competition ya ajira au baada ya kutafuta kazi na kukosa au kwa ajili ya kukimbilia tu job security..??

Ngoja niku listie hapa mdogo wangu naona wewe ni mgeni

1. Ualimu - watu husomea ualimu ili wapate mkopo chuo kikuu lakini pia ili wapate ajira kwa urahisi lakini pia watu ambao hawakufanya vizuri kidato cha nne na wakashindwa kuendelea na masomo hukimbilia huku pia waliomaliza form six na kufeli..

2. Upolisi au uaskari tu kwa ujumla - watu hukimbilia huku pia baada ya kukosa ajira au baada ya kuhisi kuwa watasumbuka kwenye swala la ajira. Pia zamani watu walikuwa wakiwa hawajafanya vizuri form 4 au 6 pia walikuwa wanakimbiziwa huku kwenye majeshi. Ndio maana majority kule ni watu type hiyo.

3. Unesi (sio udaktari) - watu wengi pia hasa dada zetu wamekuwa wakikimbilia kwenye tasnia hii baada ya kutofanya vizuri kwenye masomo.

Na zingine ambazo sijataja.

Ndugu yangu huo ndio Ukweli Mchungu. Na haya maisha ni magumu. Hivyo sishangai watu fulani fulani kukimbilia kazi fulani fulani.

I hope umenielewa..
 
Back
Top Bottom