Mjue Bodigadi wa Diamond, kumbe ni 'Komandoo Kipensi'

Mjue Bodigadi wa Diamond, kumbe ni 'Komandoo Kipensi'

Awachokoze wazee wa kungoa kucha na meno aone anavyofanywa

mnakumbuka story ya komandoo aliyetaka kufanya uhaini Jasusi joka kuu mko wapi mutupe utamu maana kuna hadi kitabu nasikia
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha. Sasa zoezi la kusimamia kichwa linasidia nini kwenye u bodyguard naomba ufafanuzi.

Hehehe na kama huyo yanki aliyepiga nae pozi la zoezi ndio design ya watu anaotegemea kupambana nao basi diamond yuko safe. Maana hata zari anawamudu.

Safi ila.
 
Ukiwa na mwili mkubwa basi bodyguard hii ndio tz! Namkaribisha magomeni kagera na mwili wake aje achezee kichapo,
 
Back
Top Bottom