Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kizuri hakikosi kasoro, na barabara murefu haikosi kona.Nimeona jina tu nimecheka ...ila ana makandokando mengi sanasana kwenye maisha yake ya mapenzi
Haha yule jamaa nizaidi ya mchekeshaji aiseKuna siku nilijua natoka dar kuja Songea mitaa ya kuanzia ilula tuliekewa vituko vyake jamani hadi tunafika Songea hakuna alielala ni kucheka tuu huyu baba anakpaji aisee nahisi ni zaidi ya Mr been
Kasoro ni alipenda vi "spring chicken" Mke wa kwanza alikuwa na 17, wa pili 16....alikuwa na alergy na Watu wazima...nadhani hakukuwa na sheria za Wanafunzi enzi hizo huko kwao.Hahaha dhu iyo sio kasoro mkuu kama ali oa safi tu
Unawaongelea Laurel and Hardy?Nimewakumbuka pia chle na mnene na chale mwembamba wale nao walikuwa kirambasi
Swadaktaa kabisa.wale jamaa nao wana viojaUnawaongelea Laurel and Hardy?
Rowan Atkinson aka ProfessorCharlie Chaplin na Rowan Atkinson(Mr Bean) hawa jamaa mpaka kesho nawaangalia nikitaka kucheka.
mkuu unamaanisha Maufundi anakurupuka?[emoji16] [emoji16]Futuhi wajifunze kwa huyu bwn...vichekesho vyake vinacontent ya maana. Kuna stor na mtiririko unaeleweka, sio kukurupuka tu eti unatama kuchekesha watu. Joti anajitahidi, mujuni....senga, pembe, muhogo nawapa excellent