Hahaha dhu iyo sio kasoro mkuu kama ali oa safi tu
Ujumbe mzuri wahusika wakiufanyia kazi watafika mbaliFutuhi wajifunze kwa huyu bwn...vichekesho vyake vinacontent ya maana. Kuna stor na mtiririko unaeleweka, sio kukurupuka tu eti unatama kuchekesha watu. Joti anajitahidi, mujuni....senga, pembe, muhogo nawapa excellent
Haha sheria sidhani kama hazikuwepo sema tu labda mawe yalimsaidiaKasoro ni alipenda vi "spring chicken" Mke wa kwanza alikuwa na 17, wa pili 16....alikuwa na alergy na Watu wazima...nadhani hakukuwa na sheria za Wanafunzi enzi hizo huko kwao.
Daa aiseKasoro nyingine ni racism, Jamaa alikuwa incharge wa kazi zake karibu zote, hakuwaamini Waigizaji Weusi mpaka ilibidi Mzungu ajipake rangi nyeusi ndio akae kama mtu mweusi kwenye play zake....kama kwenye "A Night in the show"
Haha iyo ya eating machine ni hatari sana alishindwa kuendana na kasi ya machine hahaKuna ile moja nimesahau jina, ila miongoni mwa clip ni moja ambayo wapo kiwandani, yeye kapewa spaner ya kukaza bolt, ilikuwa hatari. Lakini clip nyingine ni eating machine ambayo katika majaribio, yeye ndo akachaguliwa. Kilichotokea hapo ni full vituko.