Mjue Dkt. Mohamed Gharib Bilal, Makamu wa Rais wa Kikwete

Mjue Dkt. Mohamed Gharib Bilal, Makamu wa Rais wa Kikwete

Mbona hiyo cv yake imeishia njiani? Recently ameteuliwa kuwa chancellor of Nelson Mandela African Instituteof Science and Technology.
Jana alikuwa anafungua maonyesho ya vyuo vikuu akitoa rai kwa wasomi kufanya utafiti/ubunifu/ufumbuzi utakaotoa majibu kwa matatizo ya watanzania. Swali la kujiuliza ni kwamba yeye kama msomi/scientist ana mchango gani ktk ufumbuzi/ubunifu zaidi ya kugeuka mpiga domo/blahblah (politician) tu?! He's a failure as scientist!!! What a shame!!
jamani sijui kama mmesahau Kuwa Tz maamuzi yote yanafanywa na wana siasa (akina Livingstone Lusinde)hata kama ni ya kitaaluma,mwanataalum nchi hii haheshimiwa na ndo maana unaona serikali ya ccm imeamua kuwekeza kwa siasa na wanasiasa kwa kuwalipa mishahara na marupurupu manono than any other perso in this country.nani hataki kuheshimiwa ?Kitu pekee tunachoweza kufanya ni kuiondoa ccm madarakani ili hii structure ya division of labour ya nchi hii tuiangalie upya
 
Nimesoma hiyo Cv lakini sijaona mahali alipoitumia hiyo taaluma yake, anakijua kinu cha nyuklia kinafananaje??? Ni wapi alifanya kazi akaiona hiyo nyuklia ikizalishwa?? Hizi ndio elimu za kibongo na wabongo,,
 
think twice before you comment.
 
Back
Top Bottom