Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
🤣🤣🤣Mpango tena...!!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Mpango tena...!!??
Kiongozi huu ufukuaji wa makaburi nimekuvulia kofia. Vipi ule uzi wa Dr. wa mipango na yule kepten wa Mkuu Chika?Ok basi Sawa.
Kiongozi huu ufukuaji wa makaburi nimekuvulia kofia. Vipi ule uzi wa Dr. wa mipango na yule kepten wa Mkuu Chika?
Hosp zimejaaaJamani acheni kumchulia mzee wa watu.Alie hatarini ni Dr Mpango.
Hosp zimejaaa
Nitaendelea kusema, Hii wiki na zinazoendelea, Watu watapukutika sana tu .
Achana na Wafia tumbo..Lakini Katibu Mkuu wa W/A amesema hakuna wagonjwa waliojaa kwenye hosptal....Kuleta siasa kwenye maisha ya watu ni makosa(Mpoto).
Walimtupa huku ili kummaliza kisiasaJamaa nasikia alitaka kuuvunja muungano iwapo angeukwaa urais wa Zanzibar