Mjue Dkt. Mohamed Gharib Bilal, Makamu wa Rais wa Kikwete

jamani sijui kama mmesahau Kuwa Tz maamuzi yote yanafanywa na wana siasa (akina Livingstone Lusinde)hata kama ni ya kitaaluma,mwanataalum nchi hii haheshimiwa na ndo maana unaona serikali ya ccm imeamua kuwekeza kwa siasa na wanasiasa kwa kuwalipa mishahara na marupurupu manono than any other perso in this country.nani hataki kuheshimiwa ?Kitu pekee tunachoweza kufanya ni kuiondoa ccm madarakani ili hii structure ya division of labour ya nchi hii tuiangalie upya
 
Nimesoma hiyo Cv lakini sijaona mahali alipoitumia hiyo taaluma yake, anakijua kinu cha nyuklia kinafananaje??? Ni wapi alifanya kazi akaiona hiyo nyuklia ikizalishwa?? Hizi ndio elimu za kibongo na wabongo,,
 
think twice before you comment.
 
The last nail on the green coffin.rip chama cha mapinduzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…