Mjue gwiji wa sheria nchini Dkt. Lamwai

Mjue gwiji wa sheria nchini Dkt. Lamwai

Hivi kihiyo na Dr lamwahi inje ya Ile kesi waliwahi kupatana? Maaana kihiyo ndio aliaibika zaidi[emoji1787]
 
Nimejitahidi kutafuta Alumni record yake huko Oxford University bila mafanikio
Tunaomba utuwekee hata journals zake alizofanya akiwa Oxford......
 
Ukiona msomi yeyote kaingia kwenye siasa, elewa kuwa huyo kasoma lakini hajaelimika.

Msomi kuingia kwenye siass iwe kwenye miaka yake ya kustaafu, ndipo kweli bado ana nia ya kuitumikia jamii.

Tazama kina Dr. Janabi, na fursa zote walizonazo na usomi wao lakini wamekataa kabisa kuingia kwenye siasa, Janabi alikataa mpaka uwaziri, anasema anataka kuitendea haki elimu yake. Hao ndiyo wasomi walioelimika.
Kila uzi unautazama kwa jicho la udini pambafuu
 
Back
Top Bottom