Mjue gwiji wa sheria nchini Dkt. Lamwai

Mjue gwiji wa sheria nchini Dkt. Lamwai

Maradhi yanamsumbua sana kwa sasa

Tumuombee tahfeef kwa Mola

huyu ndio alikabidhiwa 'ukili' wa kusuka kikapu cha huu Upinzani tunaoushuhudia Tanzania nwishoni mwa miaka ya 1980s na akaifanya kazi hii kwa uzalendo mkubwa sana

Mabere Nyaucho Marando na Kingunge Ngombale Mwiru hawa watu wanatakiwa pale Makao makuu ya Ccm Dodoma na ofisi Ndogo ya Lumumba yawekwe masanamu yao makubwa sana kuwaenzi

Balozi Juma Mwapachu wakati anaondoka CCM 2015 baada ya kukasirishwa kukatwa kwa Lowassa akisema 'Kingunge ' ndio hirizi ya Ccm ya Miaka yote

Yaaani uchawi ule wa Kingunge wa kizalendo sana hadi alipotaka kushiriki kuitoa Ccm 2015 alishindwa yaani ni sawa na fundi aliekaza bawaba za mlango hata akashindwa kuja kuitoa siku alipohitaji kuung'oa Mlango ule ule
Kwa maana hiyo kingunge ndio alikuwa mzizi wa fitna katika chama au ?

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Jamaa nilikua namkubali sana akiwa Bungeni enzi zile mkulima wa mbao
 
Ukiona msomi yeyote kaingia kwenye siasa, elewa kuwa huyo kasoma lakini hajaelimika.

Msomi kuingia kwenye siass iwe kwenye miaka yake ya kustaafu, ndipo kweli bado ana nia ya kuitumikia jamii.

Tazama kina Dr. Janabi, na fursa zote walizonazo na usomi wao lakini wamekataa kabisa kuingia kwenye siasa, Janabi alikataa mpaka uwaziri, anasema anataka kuitendea haki elimu yake. Hao ndiyo wasomi walioelimika.
Tupe hicho kisa cha kukataa uwaziri. Bila shaka ni awamu ya nne
 
Huyu Wakili Msomi nimesikia kuwa alikuwa hayumbishwi kwa kile anachokiamini. Pamoja na kuwa kati ya waasisi wa vyama vingi vya siasa nchini, pia alikuwa mwanasheria aliyepingana na sheria zisizokuwa na mashiko nchini.

Nasikia baada ya kuchaguliwa kuwa Mbunge wa jimbo la Ubungo, wakati wa kuapishwa Bungeni aligoma kula KIAPO CHA UTII KWA RAIS kwa mantiki kuwa ni ukiukwaji wa misingi ya Mgawanyo wa Madaraka maana Rais ni mkuu wa mhimili wa Serikali, hivyo Bunge linatakiwa kujitegemea na kuwa huru katika utendaji kazi wake.
 
Wapo wanaomjua Dr Masumbuko kama Mhadhiri Mwandamizi wa Sheria na alifundisha na kuwawezesha wengi kuwa Wanasheria na Mawakili na wengine hadi wamefikia kuwa Majaji

kuna watu walionewa kwny kesi na mashauri mbalimbali akawasaidia wakashinda

kwangu alikuwa Mtu anaenihamasisha kwny uwekezaji kwny kilimo akinipeleka kwa gari lake mwenyewe hadi Shambani kwake Bagamoyo na kuona mafanikio kwny uwekezaji wake

Mjinga ni yule anaetaka watu wote wamtazame mtu katika angel moja anayotaka yeye
Umeeleza vizuri kabisa Mzee Wangu HIFIKEPUNYE POHAMBA
 
Mara nyingi watu walioko serikalini huwa mbumbumbu sana kifikra, hivyo utumia nguvu sana kufanya mambo yao, akitokea mtu kumupinga huyo mtu huwa Ni adui number moja. Yuko tayari kuuwa ,kuumiza aonekane yuko right, mpaka leo ukipinga hoja za watawala basi wako tayari kupoteza kabisa. Mfano akina Dr Nshala, Mwambukusi etc.
Watawala wa kiafrika ni wadhaifu sana, hata ukigomea teuzi zao utajengewa chuki na kuumizwa.
 
Nilibahatika kipiga naye kinywaji sana
Kwenye grocery yake iliyokuwa nyumbani kwake hapo kunduchi

Lamwai kwenye kesi zilizoangukia criminal alikuwa master kweri kweri

Ova
 
Ukiona msomi yeyote kaingia kwenye siasa, elewa kuwa huyo kasoma lakini hajaelimika.

Msomi kuingia kwenye siass iwe kwenye miaka yake ya kustaafu, ndipo kweli bado ana nia ya kuitumikia jamii.

Tazama kina Dr. Janabi, na fursa zote walizonazo na usomi wao lakini wamekataa kabisa kuingia kwenye siasa, Janabi alikataa mpaka uwaziri, anasema anataka kuitendea haki elimu yake. Hao ndiyo wasomi walioelimika.
Hana mvuto wakisiasa angekuwa hivyo angekuwa ashaingia ,sikila mtu anaweza kuwa kiongozi wakisiasa
 
Ukiona msomi yeyote kaingia kwenye siasa, elewa kuwa huyo kasoma lakini hajaelimika.

Msomi kuingia kwenye siass iwe kwenye miaka yake ya kustaafu, ndipo kweli bado ana nia ya kuitumikia jamii.

Tazama kina Dr. Janabi, na fursa zote walizonazo na usomi wao lakini wamekataa kabisa kuingia kwenye siasa, Janabi alikataa mpaka uwaziri, anasema anataka kuitendea haki elimu yake. Hao ndiyo wasomi walioelimika.
Siku anakataa huyo janabi wewe ulikuwepo?
 
Back
Top Bottom