Innos’B ama Innocent Balume kwa jina kamili ndio Bwana mdogo anaebamba sana kwenye anga za Afro Beats (Afro Congo) kwa sasa.
Amevuma sana na kibao chake cha Po-Ye (uchek hapa link). ambacho hata Msanii wa kizazi kipya Dimond ameomba wakirudie pamoja (wafanye remix).
Remix ni mbinu wasanii hutumia kama njia ya kuendeleza umaarufu wao kupitia mgongo wa wengine. Kwa lugha ya mtaani tunasema kusafiria nyota ya mwenzako.
Kwa kiasi flan Dimond ni kama amefanikiwa kwani kwenye youtube wimbo original wa Innos’B yaani Po-Ye una views takribani Milioni 5.7 wakati ule walioimba pamoja na Diamond una views takribani Milioni 14.
Innos’B anatokea mji wa Goma, nchini DR Congo. Akiwa na umri wa miaka 22 kwa sasa lakini ameshakua mwanamuzi Maarufu nchini Kongo na Dunia au Afrika nzima kwa sasa.
Toa maoni yako hapo chini