Mjue Innocent Balume a.k.a Innos’B

Mjue Innocent Balume a.k.a Innos’B

caboos

Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
14
Reaction score
19
Innos’B ama Innocent Balume kwa jina kamili ndio Bwana mdogo anaebamba sana kwenye anga za Afro Beats (Afro Congo) kwa sasa.

Amevuma sana na kibao chake cha Po-Ye (uchek hapa link). ambacho hata Msanii wa kizazi kipya Dimond ameomba wakirudie pamoja (wafanye remix).

Remix ni mbinu wasanii hutumia kama njia ya kuendeleza umaarufu wao kupitia mgongo wa wengine. Kwa lugha ya mtaani tunasema kusafiria nyota ya mwenzako.

Kwa kiasi flan Dimond ni kama amefanikiwa kwani kwenye youtube wimbo original wa Innos’B yaani Po-Ye una views takribani Milioni 5.7 wakati ule walioimba pamoja na Diamond una views takribani Milioni 14.

Innos’B anatokea mji wa Goma, nchini DR Congo. Akiwa na umri wa miaka 22 kwa sasa lakini ameshakua mwanamuzi Maarufu nchini Kongo na Dunia au Afrika nzima kwa sasa.

Toa maoni yako hapo chini
 
Mkuu hili ni jukwaa la siasa pekee,nadhani umekosea venue ya kupost bandiko lako,tafadhali tembelea jukwaa husika.
 
Zaidi ya RMX,sijui wimbo mwingine.
 
Kiukweli nilikuwq simjui huyo dogo na hata wimbo wake mmoja. Nimekuja kumjua baada ya kutoa hii remix na ukweli ninkuwa remix imeipita mbali nyimbo yenyewe. Halafu uzuri ni kuwa wanaendana na huyu dogo karibu vitu vingi. Nafikiri waje kutoa ngoma nyingine moja.

Nyimbo yenye original niliicheki baada ya kuangalia hii ilikuwa na viewera mill 11+ wakati ile original ilikuwa na viwers hawafiki mil 3.
 
mkuu hili jukwaa halijadili haya mambo.....moderator fanyeni kuupeleka huu uzi kwenyw jukwaa lake
 
Wanamtafuna na katafunwa sana marekani ukumbuke alikua na akina Akon, muulizeni mayunga wa Tanzania aliombwa ndogo marekani akachomoa na kukimbia jumla
Kumbe sijakosea maana nilipomwangalia tu nikajua hapa kuna walakini.Mayunga kaishia wapi sasa?Hajatoa ngoma?
 
Hahahaaaa eti Diamond alitaka kutembelea jina la Innos'b... Wakati YOPE Remix inatoka original song ilikuwa stacked kwenye 2 million views. Kwa taarifa yako remix imeibeba original song.
 
Back
Top Bottom