Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Imani nyingine bwana, kazi kweli!
Waislamu hawakai na majinni bali uelewa mbaya wa waslam ndiyo unaofanya ionekane kama waislamu wanakaa na kufuga majini, majini waliotajwa ndani ya Qur'an ni tofauti kabisa na majini wa ( tales and fables) wanaoitwa "Genii" hawa ndio hao huyo mleta mada aliowakusudia kuwataja kama alivyowaonyesha kwenye zile picha katika post no, 1, hao ni GENII Wanaotajwa katika ngano za kubuni (tales and fables) ---_ kamwe hakuna viumbe kama hivyo alivyoonyesha kwamba vipo vinaishi hapa duniani na wala viumbe hivyo havihusiani na majini waliotajwa ndani ya Qur'an
Kwa maelezo zaidi rejea post no, 111