pleo JF-Expert Member Joined Jun 20, 2013 Posts 3,444 Reaction score 2,737 Aug 18, 2019 #21 Sijui nimepita huku Mida hii kutafuta nini? Bora kuangalia picha ya kutisha kuliko kusoma chapisho la kutisha.
Sijui nimepita huku Mida hii kutafuta nini? Bora kuangalia picha ya kutisha kuliko kusoma chapisho la kutisha.
Che mittoga JF-Expert Member Joined Mar 28, 2017 Posts 12,658 Reaction score 16,205 Aug 18, 2019 #22 Andiko zuri sana. Nataka kumsikia Kiranga, anamtazamo gani kuhusu dhana ya Majini kwani nayo hayaonekani kwa macho.
Andiko zuri sana. Nataka kumsikia Kiranga, anamtazamo gani kuhusu dhana ya Majini kwani nayo hayaonekani kwa macho.
DeMostAdmired JF-Expert Member Joined Oct 7, 2017 Posts 1,579 Reaction score 3,798 Aug 18, 2019 #23 Zeus1 said: Ningekuwa sijaingia kwa YESU,hakika ningeingia huku kuona haya mambo ya shetani Click to expand... Imani yako ichunge sana
Zeus1 said: Ningekuwa sijaingia kwa YESU,hakika ningeingia huku kuona haya mambo ya shetani Click to expand... Imani yako ichunge sana
DeMostAdmired JF-Expert Member Joined Oct 7, 2017 Posts 1,579 Reaction score 3,798 Aug 18, 2019 #24 Unanisaidiaje? Maana nahisi nimekumbwa na hili tatizo. Ni story ndefu kidogo.
Zeus1 JF-Expert Member Joined Aug 24, 2017 Posts 7,152 Reaction score 9,206 Aug 18, 2019 #25 Kuingia huko kwa shetani means umemkana KRISTO, siwezi fanya hivyo Toryreee said: Imani yako ichunge sana Click to expand...
Kuingia huko kwa shetani means umemkana KRISTO, siwezi fanya hivyo Toryreee said: Imani yako ichunge sana Click to expand...
rommy shabby JF-Expert Member Joined Jun 26, 2017 Posts 1,123 Reaction score 1,302 Aug 18, 2019 #26 Kaka Rakhims nimekucheki PM ila naona kimya vipi upo busy sana au!
radicals JF-Expert Member Joined Nov 7, 2016 Posts 4,411 Reaction score 6,473 Aug 18, 2019 #27 Je ukiingia nao mkataba huo wa kujipatia jini mrembo, hawezi badae akakugeuka na kukuua?
Swet-R JF-Expert Member Joined Jul 20, 2018 Posts 5,613 Reaction score 8,082 Aug 18, 2019 #28 Vipi nikuwa na huyu jini wa pesa. Masharti yake nitashindwa tu baadae?. Au nayaweza kudumu nayo?. Nini madhara ya kuwa nae?.
Vipi nikuwa na huyu jini wa pesa. Masharti yake nitashindwa tu baadae?. Au nayaweza kudumu nayo?. Nini madhara ya kuwa nae?.
kipapi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2016 Posts 1,059 Reaction score 1,390 Aug 18, 2019 #29 Thread nzuri... ila kuwa na mali bila kufanya starehe ni mtihani wenye majibu ya kushindwa haswa kwa vijana.
Thread nzuri... ila kuwa na mali bila kufanya starehe ni mtihani wenye majibu ya kushindwa haswa kwa vijana.
Nibiru X JF-Expert Member Joined Jun 30, 2019 Posts 425 Reaction score 436 Aug 18, 2019 #30 Huu Uzi hauachi mtu salama
Profesa ntare nkobe JF-Expert Member Joined Feb 5, 2018 Posts 6,955 Reaction score 8,120 Aug 18, 2019 #31 Huyo ni noma
Shing Yui JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 15,168 Reaction score 38,049 Aug 18, 2019 #32 Namtaka huyo jini niendelee na tafiti zangu
Mokaze JF-Expert Member Joined Aug 3, 2018 Posts 14,370 Reaction score 14,929 Aug 18, 2019 #33 Huo ni uongo mtupu, na hakuna viumbe wa aina hiyo.
N Nanye Go JF-Expert Member Joined Oct 29, 2018 Posts 10,856 Reaction score 14,607 Aug 19, 2019 #34 Kwa hiyo wewe ni mganga wa kienyeji na haya yote unatibu au sijakeelewa?
lendanai JF-Expert Member Joined Oct 19, 2014 Posts 375 Reaction score 280 Aug 19, 2019 #35 Hongera mkuuu kwa somo zuri, swali langu ni kwanini MTU akiwa na jini mahaba mambo yake mengi huaribika hasahasa uchumi ushuka, kila mipango yako inafeli, na je kuna uhusiano wa jini makata na jini mahaba kiutendaji?
Hongera mkuuu kwa somo zuri, swali langu ni kwanini MTU akiwa na jini mahaba mambo yake mengi huaribika hasahasa uchumi ushuka, kila mipango yako inafeli, na je kuna uhusiano wa jini makata na jini mahaba kiutendaji?
Rakims JF-Expert Member Joined Jun 4, 2014 Posts 5,002 Reaction score 4,571 Aug 19, 2019 Thread starter #36 mtanganyika wa kweli said: Kwanini usiwapige picha hao majini ukuziweka hapa umenisikitisha kuja na picha za kuchora za google! Click to expand... wewe hujaona lolote jingine zuri zaidi ya kutafuta kasoro!?
mtanganyika wa kweli said: Kwanini usiwapige picha hao majini ukuziweka hapa umenisikitisha kuja na picha za kuchora za google! Click to expand... wewe hujaona lolote jingine zuri zaidi ya kutafuta kasoro!?
Rakims JF-Expert Member Joined Jun 4, 2014 Posts 5,002 Reaction score 4,571 Aug 19, 2019 Thread starter #37 ze-dudu said: iyo ya shahawa duuuh umalaya hautaisha kwa mwanaume ili tu uepukane nae Click to expand... Mtu siyo lazima kuwa malaya ili aweze kukidhi haja zake, ndoa ni heri zaidi kwetu wanadamu,
ze-dudu said: iyo ya shahawa duuuh umalaya hautaisha kwa mwanaume ili tu uepukane nae Click to expand... Mtu siyo lazima kuwa malaya ili aweze kukidhi haja zake, ndoa ni heri zaidi kwetu wanadamu,
Rakims JF-Expert Member Joined Jun 4, 2014 Posts 5,002 Reaction score 4,571 Aug 19, 2019 Thread starter #38 Zeus1 said: Huyo niliyemtag haamini kama hivi viumbe vipo Click to expand... Madhaifu ya imani kwake mkuu
Zeus1 said: Huyo niliyemtag haamini kama hivi viumbe vipo Click to expand... Madhaifu ya imani kwake mkuu
Rakims JF-Expert Member Joined Jun 4, 2014 Posts 5,002 Reaction score 4,571 Aug 19, 2019 Thread starter #39 Zeus1 said: Ningekuwa sijaingia kwa YESU,hakika ningeingia huku kuona haya mambo ya shetani Click to expand... vizuri
Zeus1 said: Ningekuwa sijaingia kwa YESU,hakika ningeingia huku kuona haya mambo ya shetani Click to expand... vizuri
Rakims JF-Expert Member Joined Jun 4, 2014 Posts 5,002 Reaction score 4,571 Aug 19, 2019 Thread starter #40 Smart911 said: Ahsante kwa taarifa... Cc: mahondaw Click to expand... Asante kushukuru