Mjue Jini Mahaba: Fahamu mengi kuhusu jini mahaba

Mjue Jini Mahaba: Fahamu mengi kuhusu jini mahaba

Sijui nimepita huku Mida hii kutafuta nini?
Bora kuangalia picha ya kutisha kuliko kusoma chapisho la kutisha.
 
Andiko zuri sana.

Nataka kumsikia Kiranga, anamtazamo gani kuhusu dhana ya Majini kwani nayo hayaonekani kwa macho.
 
Unanisaidiaje? Maana nahisi nimekumbwa na hili tatizo. Ni story ndefu kidogo.
 
Kaka Rakhims nimekucheki PM ila naona kimya vipi upo busy sana au!
 
Je ukiingia nao mkataba huo wa kujipatia jini mrembo, hawezi badae akakugeuka na kukuua?
 
Vipi nikuwa na huyu jini wa pesa. Masharti yake nitashindwa tu baadae?. Au nayaweza kudumu nayo?. Nini madhara ya kuwa nae?.
 
Kwa hiyo wewe ni mganga wa kienyeji na haya yote unatibu au sijakeelewa?
 
Hongera mkuuu kwa somo zuri, swali langu ni kwanini MTU akiwa na jini mahaba mambo yake mengi huaribika hasahasa uchumi ushuka, kila mipango yako inafeli, na je kuna uhusiano wa jini makata na jini mahaba kiutendaji?
 
Back
Top Bottom