Mjue Jini Mahaba: Fahamu mengi kuhusu jini mahaba

Mjue Jini Mahaba: Fahamu mengi kuhusu jini mahaba

Hongera mkuu, mada yako ni nzito sana. Ulichoongea kuhusu namna anavyoingia ni kweli na wanadamu wengi ni wahanga wa jini hili. Linatesa wengi sana tena sana.
Nashukuru Mkuu
 
je ukiingia nao mkataba huo wa kujipatia jini mrembo, hawezi badae akakugeuka na kukuua?
Hawezi kukuua hadi Mwenyezi Mungu aizinishe, ila mateso yake ukikosea masharti ndio huwa mtihani, mbona unauliza hivyo mkuu unamtaka?
 
Vipi nikuwa na huyu jini wa pesa. Masharti yake nitashindwa tu baadae?. Au nayaweza kudumu nayo?. Nini madhara ya kuwa nae?.
Hiyo ni juu yako mkuu ikiwa masharti ya Mwenyezi Mungu yanatushinda itakuwa ya kiumbe mwenzio!? Sema ukichoka unaweza kumtimua the issue is vipi wakati ukiendelea na kuzini nae uhai ukakuishia!? wapo watu wengi sana hawaoi wala hawazai wamevumilia nao na kila siku wanazidi kupaa na ukifikia sehemu akakuzoea basi anakuruhusu kufanya yote kwa idhini yake na ikifikia sehemu umefaulu basi anakuachia mali na maisha yako, Kuna watu wengi hivi visanga wanavyo na wengine walishavivuka lakini waliokuwa navyo wanakwambia kama unajijua haupo stable usiingie huko,

Madhara ya kuwa nae ni sawa na faida za kuwa nae, shida ukiwa nae kila mwanamke kama wewe ni mwanaume akikuona anakuwa anajihisi kuvutika kwako, wengine hutaka kulazimisha hata kubaka, angejua ulichonacho asingekutizama mara mbili, yaani ukimtizama mwenye hili dude huwezi kula wala kulala kwa kumuwaza,
Rakims
 
Thread nzuri... ila kuwa na mali bila kufanya starehe ni mtihani wenye majibu ya kushindwa haswa kwa vijana.
Swadakta,

kawaida ya masharti ni kitu chochote chepesi kwa kufukirika lakini baadae huwa kigumu, anaweza kukuruhusu yote hayo lakini usitumie marashi!
RAHISI EEH!!!

hakuna sharti rahisi mkuu ukipewa sharti hili itakulazimu kuoga kwa siku mara 3 hadi 4

Rakims
 
Utaratibu upoje namna rahisi ya kumiliki?
Fuata maelekezo kwenye thread hapo nimetoa kwenye hayo majina mara 7 hapo ni nia unaweka kwa asili ya lugha yako vile unavyotaka wewe ukifanya fanya wewe na hili lihifadhike hadi siku ya kiama ya kuwa ''MIMI NIPO MBALI NAWE NA WALA SIJASHIRIKI NAWE KATIKA HILI"

hii nachokwambia ni sawa na vile walivyofundishwa watu na malaika wawili katika Babylon HARUT NA MARUT walioshushwa na Mwenyezi Mungu katika dunia ili kufundisha watu uchawi na miujiza na matumizi yao ni juu yao, hivyo fanya ukishindwa masharti ukaanza kubokolewa na kusodomiziwa mimi simo!!!

Rakims
 
kwa asilimia kubwa wenye nao akianza kujishtukia basi jini huyu humtembelea kiwizi na kiuficho, lakini utafahamu tu.
Kipi kimekupelekea kuuliza swali hili!?

Rakims
 
Aisee kama jini mahaba ndo huyo mzuri hivyo potelea mbali. Acha anikute tu. Mademu wanatuchuna tu. Huyo akija hachukui hata mia yako na uroda unakula
Have you read your signature before you quote this!?
 
Back
Top Bottom