Mjue joseverest

Mjue joseverest

Hapana joseverest ..kwanamna ambayo nmekua nafatilia JF style yake ....

Nmegundua nimwanafunzi Wa chuo kikuu ....

Nasaizi hayupo sana online kwasababu anafanya Registration!!!.
 
Mtajwa hapo juu ni mtu maarufu mno hapa JF.kwa miongo kadha amekuwa akishuhudiwa akiwa wa kwanza ku comment post zote mpya. Lakini kwa hivi karibuni amepotea kimya kimya.kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mtu wake wa karibu mno bwana GU DUME nimebaini yafuatayo
1. Yuko kwenye mitihani ya kidato cha nne, atamaliza mitihani hiyo jumatano ijayo kwa sababu hasomi sayansi
2. Ni mshabiki wa Simba hivyo ana mawazo ya kusare na Yanga
3. Smartphone yake imekuwa bize kugoogle materia nyingine kuliko kuingia jukwaani
Mimi binafsi namtakia mitihani myema
una bahati kumbe hili ni jukwaa la Utani msiiiiiiiew
 
Back
Top Bottom