goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,149
Shida zao hizo sisi haituhusu hizo mambo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good...Sakina homeplace...karibu sana..Me arusha nakwepo mda wowote
una bahati kumbe hili ni jukwaa la Utani msiiiiiiiewMtajwa hapo juu ni mtu maarufu mno hapa JF.kwa miongo kadha amekuwa akishuhudiwa akiwa wa kwanza ku comment post zote mpya. Lakini kwa hivi karibuni amepotea kimya kimya.kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mtu wake wa karibu mno bwana GU DUME nimebaini yafuatayo
1. Yuko kwenye mitihani ya kidato cha nne, atamaliza mitihani hiyo jumatano ijayo kwa sababu hasomi sayansi
2. Ni mshabiki wa Simba hivyo ana mawazo ya kusare na Yanga
3. Smartphone yake imekuwa bize kugoogle materia nyingine kuliko kuingia jukwaani
Mimi binafsi namtakia mitihani myema
kwa mromboo, sanawari, sakina au njiro?Me arusha nakwepo mda wowote
[emoji120]Good...Sakina homeplace...karibu sana..
Usimainduna bahati kumbe hili ni jukwaa la Utani msiiiiiiiew
Exactly ni chai jombaa.Heee jose kumbe bdo hajafanya hata mtihani wa form four sitaki kuamin kabisa hii ni chai ya maziwa
Hapo sawaGuDume ukuje huku umalize utata mzee
Is a jokeDuuh... Mkuu naona umeamua kumpaka matope Joseverest
Kumbe ni chalii ya arachanga asee poa chaliianguJose sio mtoto wa shule na nyie.He is grown up person with his personality.Njoo Arusha ukimhitaji utampata.