Mjue joseverest

Mjue joseverest

lindunduru

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2015
Posts
392
Reaction score
553
Mtajwa hapo juu ni mtu maarufu mno hapa JF.kwa miongo kadha amekuwa akishuhudiwa akiwa wa kwanza ku comment post zote mpya. Lakini kwa hivi karibuni amepotea kimya kimya.kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mtu wake wa karibu mno bwana GU DUME nimebaini yafuatayo
1. Yuko kwenye mitihani ya kidato cha nne, atamaliza mitihani hiyo jumatano ijayo kwa sababu hasomi sayansi
2. Ni mshabiki wa Simba hivyo ana mawazo ya kusare na Yanga
3. Smartphone yake imekuwa bize kugoogle materia nyingine kuliko kuingia jukwaani
Mimi binafsi namtakia mitihani myema
 
Na lindunduru ndio nani nae??[emoji15] [emoji111]


Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Jose sio mtoto wa shule na nyie.He is grown up person with his personality.Njoo Arusha ukimhitaji utampata.
Aisee kumbe wa arusha ngoja nifanye juu chini nimtafute anipe siri ya kua the first to reply
Joseverest ukiona hii msg nitafute
 
Back
Top Bottom