Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Mara ambadilishie barakoa... ilimradi vurugu tupu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kakwambia judo ndio ulinzi?Kwa hiyo hajui judo?.
Naona huyu mama wa kikurya ameendana vyema sana na Hangaya.Zama mpya na mambo mapya. Samia Suluhu Hassan ndio Rais mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya kula kiapo leo, akichukua nafasi ya Hayati John Pombe Magufuli.
Baada ya kula kiapo, Rais Samia Suluhu (Double S) tukamuona mpambe mpya nyuma ya Rais Samia, kinyume na ilivyozoeleka na wengi, mpambe akawa mwanamama.
Wengi hawamfahamu, mpambe huyu anaitwa Nyamburi Mashauri ambaye ni Kanali kutoka JWTZ na nimepenyezewa kuwa ni mtu makini sana kwenye utendaji wa kazi hivyo Rais wetu amepata msaidizi sahihi.
Kanali Nyamburi Mashauri anachukua nafasi ya Kanali Bernard Mlungwa ambaye alikuwa mpambe wa Hayati Rais Magufuli.
Nikutakie utendaji mzuri wa kazi Kanali Nyamburi Mashauri katika jukumu lako kubwa la kumsaidia Rais wetu mpendwa Samia Suluhu.
aisee, kazi ipo hii Nchi!!Huyu mama mkurya saivi kanona balaa

Siku hizi nae anaswali msikitini licha ya kuwa ni mromaniZama mpya na mambo mapya. Samia Suluhu Hassan ndio Rais mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya kula kiapo leo, akichukua nafasi ya Hayati John Pombe Magufuli.
Baada ya kula kiapo, Rais Samia Suluhu (Double S) tukamuona mpambe mpya nyuma ya Rais Samia, kinyume na ilivyozoeleka na wengi, mpambe akawa mwanamama.
Wengi hawamfahamu, mpambe huyu anaitwa Nyamburi Mashauri ambaye ni Kanali kutoka JWTZ na nimepenyezewa kuwa ni mtu makini sana kwenye utendaji wa kazi hivyo Rais wetu amepata msaidizi sahihi.
Kanali Nyamburi Mashauri anachukua nafasi ya Kanali Bernard Mlungwa ambaye alikuwa mpambe wa Hayati Rais Magufuli.
Nikutakie utendaji mzuri wa kazi Kanali Nyamburi Mashauri katika jukumu lako kubwa la kumsaidia Rais wetu mpendwa Samia Suluhu.
OkZama mpya na mambo mapya. Samia Suluhu Hassan ndio Rais mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya kula kiapo leo, akichukua nafasi ya Hayati John Pombe Magufuli.
Baada ya kula kiapo, Rais Samia Suluhu (Double S) tukamuona mpambe mpya nyuma ya Rais Samia, kinyume na ilivyozoeleka na wengi, mpambe akawa mwanamama.
Wengi hawamfahamu, mpambe huyu anaitwa Nyamburi Mashauri ambaye ni Kanali kutoka JWTZ na nimepenyezewa kuwa ni mtu makini sana kwenye utendaji wa kazi hivyo Rais wetu amepata msaidizi sahihi.
Kanali Nyamburi Mashauri anachukua nafasi ya Kanali Bernard Mlungwa ambaye alikuwa mpambe wa Hayati Rais Magufuli.
Nikutakie utendaji mzuri wa kazi Kanali Nyamburi Mashauri katika jukumu lako kubwa la kumsaidia Rais wetu mpendwa Samia Suluhu.
Na Mimi niliingia hapa kuulizia SWALI kama ni Muslim, MAANA Jana Ile mikono alivyoinyoosha 🤣😂. Nashukuru nimepata jawabu kwamba ni mroma mwenzanguSiku hizi nae anaswali msikitini licha ya kuwa ni mromani
Kabla ya hapo alikuwa wapi na kama nani?Zama mpya na mambo mapya. Samia Suluhu Hassan ndio Rais mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya kula kiapo leo, akichukua nafasi ya Hayati John Pombe Magufuli.
Baada ya kula kiapo, Rais Samia Suluhu (Double S) tukamuona mpambe mpya nyuma ya Rais Samia, kinyume na ilivyozoeleka na wengi, mpambe akawa mwanamama.
Wengi hawamfahamu, mpambe huyu anaitwa Nyamburi Mashauri ambaye ni Kanali kutoka JWTZ na nimepenyezewa kuwa ni mtu makini sana kwenye utendaji wa kazi hivyo Rais wetu amepata msaidizi sahihi.
Kanali Nyamburi Mashauri anachukua nafasi ya Kanali Bernard Mlungwa ambaye alikuwa mpambe wa Hayati Rais Magufuli.
Nikutakie utendaji mzuri wa kazi Kanali Nyamburi Mashauri katika jukumu lako kubwa la kumsaidia Rais wetu mpendwa Samia Suluhu.
Ni kweli amekuwa brigedia?
HapanaNi kweli amekuwa brigedia?
Kuna picha nimeiona anamkasi begani.. ngoja niiweke.Hapana
Huyo ni mjita sio mkurya.Huyu mama mkurya saivi kanona balaa
WA wapi?Huyo ni mjita sio mkurya.
Musoma mjini, Nyasho.WA wapi?
Kuna picha nimeiona anamkasi begani.. ngoja niiweke.
View: https://www.instagram.com/p/C913uY6qTMV/?igsh=MTRjcTUwbmVhOW01Ng==
cc JokaKuu Pascal Mayalla
Huenda,si unajua mama sio mchoyo?..Ni Brigadier General.
..labda anakaribia kubadilishiwa majukumu.