fundimchundo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2010
- 739
- 1,032
Siyo labda, ni dhahiri...Ni Brigadier General.
..labda anakaribia kubadilishiwa majukumu.
ADC ni nafasi ya Afisa mwenye cheo cha Kanali.
Brigedia Jenerali Nyamburi Mashauri anarudi MMJ ambako atapangiwa majukumu mapya.
Anaweza kuwa Mwambata wa Kijeshi kwenye Balozi zetu nje ya Nchi