OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Msimu wa 2018/19 ilishika nafasi ya pili
Msimu wa 2019/20 ilitangazwa bingwa baada ya kuishia michezo 20 kati ya 30 kutokana na Covid19
Msimu wa 2020/21 hakukuwa na ligi kabisa anateuliwa kushiriki CAFCL.
Simba Sc Mungu awape nini. Msilete dharau,huyu mnamkazia kama mnacheza na Zamalek